Hamas wamemfanya Netanyahu anatetemeka hovyo kwenye mkutano na waandishi wa habari.

Netanyahu ana umri wa miaka 74 sasa hivi. Mwaka jana alifanyiwa upasuaji wa moyo na kuwekewa pacemaker (kama ile inayodaiwa kuwa alikuwa nayo Magufuli).

Kwa hiyo ni mzee huyo, na yuko katika umri wa kuumwa magonjwa ya uzeeni. Mikono kutetemeka ni mojawapo ya magonjwa ya uzeeni yanayohusiana na moyo au mfumo wa fahamu.

Kwa hiyo acha propaganda za kijinga za kusema Hamas ndo wanamtetemesha. Siku akifa kwa ugonjwa au kifo cha kawaida cha uzee basi utasema kafa kwa sababu ya Hamas.
Mleta mada kusema Hamas wanamtetemesha hajakusudia kama unavyokusudia.
Bali anamaanisha kwa namna vita inapoelekea na hali ilivyo ya kutokufanikisha lolote kwa Israel ndani ya Gaza,humpa stress huyu mzee na kumuumiza kichwa.
Na kama ni kweli ana matatizo ya moyo na kawekewa pacemaker basi ni hatari kuwa na msongo wa mawazo ama sonona kwa afya yake.
Anaweza kufa kwa kuhangaika na vita ya Gaza.
Na ukiangalia ni kweli,kila leo raia wanarudi barabarani kuandamana dhidi yake,Gaza mateka hawajakombolewa na wengine wanazidi kufa,amepoteza international support duniani imebakia ya USA na baadhi ya washirika wake,Kaskazini mwa Israel kuna total of 300k displacement kwa mashambulizi na Hizbollah,nchi nzima kuna waliohama nchi takriban 180k citizens.
Kwa hali kama hii mkuu wewe kama kiongozi halafu una matatizo ya moyo utakosa kutetemeka!??
 
JF siku hizi imejaa wavuta bangi maanake siku hizi mtu akiamka anaweza akaandika chochote kile kinachokuja kichwani.
 
Bora bangi bado akili zipo zipo, kuliko kusema binadamu Mungu. Hebu nifahamisheni hapo Yesu ni Mungu, au Yesu ana Mungu 😄

View: https://youtube.com/shorts/8mGpExx850k?si=l3r0kX9-V5lYPWgf

You have loved righteousness and hated wickedness; therefore God, your God, has anointed you with the oil of gladness beyond your companions."
 
Mleta mada kusema Hamas wanamtetemesha hajakusudia kama unavyokusudia.
Bali anamaanisha kwa namna vita inapoelekea na hali ilivyo ya kutokufanikisha lolote kwa Israel ndani ya Gaza,humpa stress huyu mzee na kumuumiza kichwa.
Na kama ni kweli ana matatizo ya moyo na kawekewa pacemaker basi ni hatari kuwa na msongo wa mawazo ama sonona kwa afya yake.
Anaweza kufa kwa kuhangaika na vita ya Gaza.
Na ukiangalia ni kweli,kila leo raia wanarudi barabarani kuandamana dhidi yake,Gaza mateka hawajakombolewa na wengine wanazidi kufa,amepoteza international support duniani imebakia ya USA na baadhi ya washirika wake,Kaskazini mwa Israel kuna total of 300k displacement kwa mashambulizi na Hizbollah,nchi nzima kuna waliohama nchi takriban 180k citizens.
Kwa hali kama hii mkuu wewe kama kiongozi halafu una matatizo ya moyo utakosa kutetemeka!??
Wayahudi wa leo wanapenda kuishi kuliko Taifa lao. Watoto wao wapo vitani kuipigania nchi yao na usalama wao, wazazi wako barabarani kutaka PM ajiuzuru. Wanampa nguvu adui .
 
Mkuu ukifuatilia huu mzozo hauhitaji vita wala kupigana.
Kipindi Yair Lapid alipokua waziri wa mpito Israel na Gaza/Westbank walikua wakipatana hadi baadhi ya wayahudi waliwekeza ndani ya Gaza mamilioni ya dola.
Ila alipoingia Netanyahu akaanza na kesi ya kuuliwa kwa Sherin Abu Akleh,ikaja kesi ya uvunjaji wa nyumba Westbank,ikaja mwaka jana August uvamizi wa mashamba ya mabedui na mwisho ikaja October 7.
Sasa ukitizama lazima uone chanzo ni Netanyahu anaendekeza vurugu.
Kwanini kipindi cha Lapid watu waishi vizuri halafu kuja Netanyahu vita zizuke??
Raia wameshachoka na vita mkuu,kila siku mnakaa mnasikia ving'ora vya anga mara mnaona maroketi yanapita juu yenu.
Hofu juu ya hofu raia wa kiyahudi wamechoka.
 
Netanyahu ana umri wa miaka 74 sasa hivi. Mwaka jana alifanyiwa upasuaji wa moyo na kuwekewa pacemaker (kama ile inayodaiwa kuwa alikuwa nayo Magufuli).

Kwa hiyo ni mzee huyo, na yuko katika umri wa kuumwa magonjwa ya uzeeni. Mikono kutetemeka ni mojawapo ya magonjwa ya uzeeni yanayohusiana na moyo au mfumo wa fahamu.

Kwa hiyo acha propaganda za kijinga za kusema Hamas ndo wanamtetemesha. Siku akifa kwa ugonjwa au kifo cha kawaida cha uzee basi utasema kafa kwa sababu ya Hamas.
sawa dr SAMIA
 
Back
Top Bottom