Hamas wamemfanya Netanyahu anatetemeka hovyo kwenye mkutano na waandishi wa habari.

Netanyahu ana umri wa miaka 74 sasa hivi. Mwaka jana alifanyiwa upasuaji wa moyo na kuwekewa pacemaker (kama ile inayodaiwa kuwa alikuwa nayo Magufuli).


Kwa hiyo ni mzee huyo, na yuko katika umri wa kuumwa magonjwa ya uzeeni. Mikono kutetemeka ni mojawapo ya magonjwa ya uzeeni yanayohusiana na moyo au mfumo wa fahamu.

Kwa hiyo acha propaganda za kijinga za kusema Hamas ndo wanamtetemesha. Siku akifa kwa ugonjwa au kifo cha kawaida cha uzee basi utasema kafa kwa sababu ya Hamas.
 
Ana ripoti Dr wa Netanyahu kutoka MAKWENJE..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…