Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.

Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.

We ndio ripota wao au unaota tu? Waarabu wanavyomdharau mtu mweusi bado mnawahusudu ndio wanawaona zaidi ya nyani. Waarabu ndio waliwauza waafrika Ulaya na Marekani akawapumbaza kwa dini ya kiislam ambao ni utamaduni wao tu hakuna uhusiano na Mungu. Dini yenyewe waliilazimisha kwa jambia bado mtu anashinda humu kuandika uzushi na propaganda za uwongo. Kuliko mwarabu mara 1000 ya Mchina
Mbna Unateseka wazungu wanaowapenda wangekua wanawanasibisha na nyani
Halaf hakuna uarabu kwenye uislam acheni kulialia
Au mnataka kila mtu awe kama mlivyoamriwa na mamba?
 
Baada ya mazayuni kuchapwa 7/10 walisema nini kwa kutamba, ndani ya wiki moja watachukua mateka wote na watawamaliza Hamas na wao wataweka utawala wao. Leo mwezi wa ngapi?
bibi ukiweka mbali ushabiki wa kidini unajua wazi kua Israel inauwezo wa kuifuta Gaza yote ndani ya masaa 24
 
Kwanini wanaume wanajificha kwenye mashimo kama fuko wanawaacha wanawake na watoto ? Alafu utakuta wanaume wazima wakitokea uko kwenye mashimo wanaanza kulia
Fuko ndiyo nini!?..Sasa si wawafuate shimoni,jeshi teule!
 
Sawa shukrani Kwa taarifa na hongera kwa HAMAS Kwa ushindi was kishindo!

Ushauri kwa HAMAS kufuatia ushindi huo kubwa:

Wwazuie Mayahudi kuendelea kuua Wanawake , Watoto na Wazee.

Waiteke Yerusalem pamoja na Uyahudi yote

Wajitangazie rasmi uhuru wao sambamba na kuomba Uanachama UN
 
Fuko ni mnyama anaishi kwenye shimo,

Kwanini wasiwalinde wanawake na watoto wao wanaume wanjificha kwenye mashimo, hii ni dharau kwa wake zao na watoto

Idf/makafiri wanalipua manyumba, misikiti, makanisa, mahospitali n.k, sasa hamas wanakifaa au silaha gani ya kuweza kuzipiga hizo ndege zinazolenga na kuuwa watoto n.k! Muwe mnafikiri kabla ya kuongea
 
Mbna Unateseka wazungu wanaowapenda wangekua wanawanasibisha na nyani
Halaf hakuna uarabu kwenye uislam acheni kulialia
Au mnataka kila mtu awe kama mlivyoamriwa na mamba?

Hii ndiyo turufu ya mudi, kukamata akili za wasio jielewa. Kwa hiyo ile lugha mnayoitumia kwenye kuruwani ni kisukuma kile. Watu mna shinda kukaririshana maneno ambayo hata hamyajui maana yake, halafu unakuja hapa eti hakuna uarabu kwenye uislam. Hayo mavazi mnayovaa na wanawake kujifunika gubigubi ni utamaduni wenu huo?
Pole sana mama Afrika, umenyang'anywa urithi wako na wageni. Tazama, hata akili wameacha kuzitumia. Wanategemea zitoke nje kwa wageni. Ina sikitisha sana.
 
Idf/makafiri wanalipua manyumba, misikiti, makanisa, mahospitali n.k, sasa hamas wanakifaa au silaha gani ya kuweza kuzipiga hizo ndege zinazolenga na kuuwa watoto n.k! Muwe mnafikiri kabla ya kuongea
Kwenye ayo majumba hakuna wanaume ? Kama hakuna wanakuwa wameenda wapi? Kwama wapo mabomu ya Israel yanatumia technology gani ya kulipuka na kichagua kuuwa watoto na wanawake tu ?
 
bibi ukiweka mbali ushabiki wa kidini unajua wazi kua Israel inauwezo wa kuifuta Gaza yote ndani ya masaa 24
Ila cha ajabu nikwamba imeshindwa kuifuta ghaza hio hio kwa miezi minne sijui mitano
Au unaongelea ghaza ipi[emoji3]
 
Muarabu hakua anavaa vile kabla ya kuja uislamu kijana acha kukurupuka
Waarabu kabla ya uislamu walikua makafiri
Wabusu jiwe hamjui dini Yenu, Umar ndie alie toa wazo la ayo mavazi na Muhammad akakubali akayaingiza kwenye uislam

Bisha niweke nukuu
 
Wabusu jiwe hamjui dini Yenu, Umar ndie alie toa wazo la ayo mavazi na Muhammad akakubali akayaingiza kwenye uislam

Bisha niweke nukuu
Usisahau kuleta na nukuu ya qur an ambayo ndio katiba ya uislam na ambayo imeleta namna ya watu kuvaa
Leta nukuu ila sharti uhakikishe nukuu hio haipo kwenye qur an
 
Usisahau kuleta na nukuu ya qur an ambayo ndio katiba ya uislam na ambayo imeleta namna ya watu kuvaa
Leta nukuu ila sharti uhakikishe nukuu hio haipo kwenye qur an
Wewe ni Quran only ?
 
Usisahau kuleta na nukuu ya qur an ambayo ndio katiba ya uislam na ambayo imeleta namna ya watu kuvaa
Leta nukuu ila sharti uhakikishe nukuu hio haipo kwenye qur an
hijab ni Umar na hajatunga hiyo tu mpaka ibada ya jiwe pale macca ni yeye alileta idea

Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
 
Ndio umemaliza 😀
 
Back
Top Bottom