Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.

Ushahidi si unaona leta full verse tuione kwani shida iko wapi
Leta verse tuione tu halafu tuone imekaaje
Kiukweli dini yangu siijui nandio maana bado naendelea kuisoma na bado ntakufa siijui ila nazidi kuisoma elimu haina mwisho
Soma hii kwa makini uone verse ambazo ni wazo la Umar kwanza ndio zikaja baadae kwenye Koran

Sahih al-Bukhari 402
My Lord agreed with me in three things: -1. I said, "O Allah's Messenger (ﷺ), I wish we took the station of Abraham as our praying place (for some of our prayers). So came the Divine Inspiration: And take you (people) the station of Abraham as a place of prayer (for some of your prayers e.g. two rak`at of Tawaf of Ka`ba)". (2.125) -2. And as regards the (verse of) the veiling of the women, I said, 'O Allah's Messenger (ﷺ)! I wish you ordered your wives to cover themselves from the men because good and bad ones talk to them.' So the verse of the veiling of the women was revealed. -3. Once the wives of the Prophet (ﷺ) made a united front against the Prophet (ﷺ) and I said to them, 'It may be if he (the Prophet) divorced you, (all) that his Lord (Allah) will give him instead of you wives better than you.' So verse the same as I said was revealed." (66.5).
 
Haya soma na hii huyo muandishi wako anakwambiaje hapo exegesis of the qur anic verses halaf unataka uje upotoshe watu

The hadith sources specify the details of hijab for men and women, exegesis of the Qur'anic verses narrated by sahabah, and are a major source which Muslim legal scholars used to derive their rulings.[44][45][46] It is reported in Sahih al-Bukhari on the authority of Aisha that:

`Umar bin Al-Khattab used to say to Allah's Messenger (ﷺ) "Let your wives be veiled" But he did not do so. The wives of the Prophet (ﷺ) used to go out to answer the call of nature at night only at Al-Manasi.' Once Sauda, the daughter of Zam`a went out and she was a tall woman. `Umar
 
Sijasema lugha kama jambo dogo ama hujanielewa nimemaanisha kwamba kwenye utambulisho wa mtu ama watu bado unakuta lugha ila kuna vyengine zaidi
Nandio maana ni kakwambia hata hao waarabu wana lugha za kiarabu zaidi ya moja ama hulijui hili
Pia mtiririko uliopo kwenye lugha na uislam ni tofauti mfano adhana yaani inaadhiniwa kwa kiarabu ila ni tofauti na lugha ya kiarabu maana ni kitu cha kushangaza (hapa kuna namna nataka kukuelewesha ila nachemka nikuelewesheje)
Ukiongea lugja ya kiarabu sio sababu kua wewe muislam ila ukitoa shahada ama ukiadhini inakua sababu ama dalili ya uislam wako
Yaani uarabu na uislamu huendani kabisa licha yakua unashare baadhi ya maeneo kwa kilugha

Kijana wangu hongera kwa kujitahidi kueleza.
Jambo ambalo sipingi ni kuwa ukiongea kiarabu, hakumaanishi wewe ni muislam. Lkn jambo unalopaswa kuelewa mpaka sasa ni kuwa huwezi kuwa muislam bila kujua au kukariri idadi yenye kuridhisha ya maneno ya kiarabu. Kwa maana msingi wa imani ya kiislam unajengwa kwenye lugha ya kiarabu. Mfano, mimi ni botany scientist, kwenye mawasiliano ya majina ya viumbe tunayataja katika lugha ya kilatini. Kilatini kinatuunganisha katika hili. Nanyi kiarabu ndicho kinacho waunganisha ninyi waislam. Lugha yenu na desturi za kiarabu ndizo msingi mkuu wa imani yenu.
Kuhusu kuwa na utofauti wa lugha ya kiarabu miongoni mwao, hilo ni jambo la kawaida. Hata kiingereza kila lahaja anuwai, kuna Britain English, Australia English, American English nk nk. Hata kiswahili kila lahaja tofauti tofauti, kama uliwahi kuwasikia wangazija utanielewa kwa urahisi sana.
Lingine kuhusu kiarabu cha kwenye kuruwani kuwa tofauti na kiarabu kinachotumika sasa ni kwamba, lugha ya kwenye kitabu ni ile ya asili kipindi Mohammed anaishi. Inatumia lugha ambayo umma wa kipindi chake walitumia. Lkn kama ilivyo kwa binadamu, lugha hubadirika kulingana na wakati. Hivyo kuna maneno na matamshi mengi hubadilika. Kiarabu cha miaka zaidi ya 1000 iliyopita kiko tofauti na cha sasa.
Nadhani tuko pamoja kijana wangu.

Lakini msimamo wangu uko palepale. Inasikitisha Afrika kukumbatia utamaduni wa watu wa namna ya kuabudu na imani. Huku akili yetu ikiona tuko sawa tu. Hilo limechangia sana kuturudisha nyuma. Tofauti na wenzetu wa China bado wako na imani yao. Na ndiyo maana wamenyooka katika maendeleo yao.
 
Haya soma na hii huyo muandishi wako anakwambiaje hapo exegesis of the qur anic verses halaf unataka uje upotoshe watu

The hadith sources specify the details of hijab for men and women, exegesis of the Qur'anic verses narrated by sahabah, and are a major source which Muslim legal scholars used to derive their rulings.[44][45][46] It is reported in Sahih al-Bukhari on the authority of Aisha that:

`Umar bin Al-Khattab used to say to Allah's Messenger (ﷺ) "Let your wives be veiled" But he did not do so. The wives of the Prophet (ﷺ) used to go out to answer the call of nature at night only at Al-Manasi.' Once Sauda, the daughter of Zam`a went out and she was a tall woman. `Umar
Umeendelea kuthibitisha umar ndie alie toa wazo la hijabu

Nimemaliza kazi
 
Kijana wangu hongera kwa kujitahidi kueleza.
Jambo ambalo sipingi ni kuwa ukiongea kiarabu, hakumaanishi wewe ni muislam. Lkn jambo unalopaswa kuelewa mpaka sasa ni kuwa huwezi kuwa muislam bila kujua au kukariri idadi yenye kuridhisha ya maneno ya kiarabu. Kwa maana msingi wa imani ya kiislam unajengwa kwenye lugha ya kiarabu. Mfano, mimi ni botany scientist, kwenye mawasiliano ya majina ya viumbe tunayataja katika lugha ya kilatini. Kilatini kinatuunganisha katika hili. Nanyi kiarabu ndicho kinacho waunganisha ninyi waislam. Lugha yenu na desturi za kiarabu ndizo msingi mkuu wa imani yenu.
Kuhusu kuwa na utofauti wa lugha ya kiarabu miongoni mwao, hilo ni jambo la kawaida. Hata kiingereza kila lahaja anuwai, kuna Britain English, Australia English, American English nk nk. Hata kiswahili kila lahaja tofauti tofauti, kama uliwahi kuwasikia wangazija utanielewa kwa urahisi sana.
Lingine kuhusu kiarabu cha kwenye kuruwani kuwa tofauti na kiarabu kinachotumika sasa ni kwamba, lugha ya kwenye kitabu ni ile ya asili kipindi Mohammed anaishi. Inatumia lugha ambayo umma wa kipindi chake walitumia. Lkn kama ilivyo kwa binadamu, lugha hubadirika kulingana na wakati. Hivyo kuna maneno na matamshi mengi hubadilika. Kiarabu cha miaka zaidi ya 1000 iliyopita kiko tofauti na cha sasa.
Nadhani tuko pamoja kijana wangu.

Lakini msimamo wangu uko palepale. Inasikitisha Afrika kukumbatia utamaduni wa watu wa namna ya kuabudu na imani. Huku akili yetu ikiona tuko sawa tu. Hilo limechangia sana kuturudisha nyuma. Tofauti na wenzetu wa China bado wako na imani yao. Na ndiyo maana wamenyooka katika maendeleo yao.
Ntaanzia chini kuja juu huko suala la maendeleo kwa afrika tokea zama na zama kwakiasi kikubwa lililetwa na hao hao wageni kama sio wazungu waarabu ama wachina
Nani alojenga miji kama zanzibar alowajengea kama reli alojenga timbuktu alojenga gao alojenga kule rasi ya tumaini jema sijui alojenga reli ya tazara
Kiufupi dini zenu hizo mnazozihubiria hazikuwahi kuwaletea manufaa ya aina yeyote ile
Tukija kwenye tamaduni ndio maana nikakwambia kwamba uarabu sio uliounda uislamu sababu kwenye historia uislam haukuanzia kwa waarabu nakukumbusha tu kwamba s.a.w sio mtume wa mwanzo ni wamwisho kabisa hvyo uislam haukuanzia kwake uliendelea tu huko nyuma kulikua na mitume ama manabii wasiokua waarabu unadhani waliongea lugha gani
Shida ni kwamba mnadhania uislamu umeanzia kwa s.a.w ambae ni muarabu nikujuze tu inasemekana nabii Muhammad s.a.w ndio nabii pekee alietokea kwa waarabu nandio ikazaliwa chuki ya wayahudi kwa uislamu ama kwa Muhammad s.a.w sababu manabii wanyuma huko walikuepo wayahudi walikuepo wazungu walikuepo na wengineo usikute hata waafrika walikuepo pia

Shida zenu nikudhania kwamba uislamu umeanzia ama ulianzia kwa waarabu na ulianzia kwa s.a.w

Kwenye mitume au manabii inasemekana walikua zaidi ya laki moja Muhammad s.a.w ndio wa mwisho na inasemekana pekee ndio alikua muarabu sasa hapa hoja kua uislamu ni uarabu mnaipatia wapi vijana nyie[emoji848]
 
We ndio ripota wao au unaota tu? Waarabu wanavyomdharau mtu mweusi bado mnawahusudu ndio wanawaona zaidi ya nyani. Waarabu ndio waliwauza waafrika Ulaya na Marekani akawapumbaza kwa dini ya kiislam ambao ni utamaduni wao tu hakuna uhusiano na Mungu. Dini yenyewe waliilazimisha kwa jambia bado mtu anashinda humu kuandika uzushi na propaganda za uwongo. Kuliko mwarabu mara 1000 ya Mchina

Kwani mtu mweusi hamdharau mtu mweusi mwenzake ??? CCM ni mwarabu ??
 
Exegesis unaelewa maana yake kwanza kabla huja endelea
Umar amesema , "My Lord agreed with me in three things:"

Allah kamkubalia Umar mambo ma 3 na akayaweka kwenye Koran , swali inakuwaje Allah anachukua Koran kutoka kwa Umar ?
 
Ayo ni maneno ya skola wenu wametunga , ila Hadith zipo wazi muanzilishi wa hijab , Adhana na kuabudu jiwe ni Umar
Heheeeeee ila ya huyo unaesema wewe sio wakutunga😀
Ndio ninyi mloambiwa mna macho ila hamuoni vipofu na mna masikio ila hamsikii viziwi ndio wewe sasa
 
Umar amesema , "My Lord agreed with me in three things:"

Allah kamkubalia Umar mambo ma 3 na akayaweka kwenye Koran , swali inakuwaje Allah anachukua Koran kutoka kwa Umar ?
Mambo matatu yapi na yapi hayo hem yataje tuyaone
 
Yasome kwa makini

Sahih al-Bukhari 402
My Lord agreed with me in three things: -1. I said, "O Allah's Messenger (ﷺ), I wish we took the station of Abraham as our praying place (for some of our prayers). So came the Divine Inspiration: And take you (people) the station of Abraham as a place of prayer (for some of your prayers e.g. two rak`at of Tawaf of Ka`ba)". (2.125) -2. And as regards the (verse of) the veiling of the women, I said, 'O Allah's Messenger (ﷺ)! I wish you ordered your wives to cover themselves from the men because good and bad ones talk to them.' So the verse of the veiling of the women was revealed. -3. Once the wives of the Prophet (ﷺ) made a united front against the Prophet (ﷺ) and I said to them, 'It may be if he (the Prophet) divorced you, (all) that his Lord (Allah) will give him instead of you wives better than you.' So verse the same as I said was revealed." (66.5).
 
Yasome kwa makini

Sahih al-Bukhari 402
My Lord agreed with me in three things: -1. I said, "O Allah's Messenger (ﷺ), I wish we took the station of Abraham as our praying place (for some of our prayers). So came the Divine Inspiration: And take you (people) the station of Abraham as a place of prayer (for some of your prayers e.g. two rak`at of Tawaf of Ka`ba)". (2.125) -2. And as regards the (verse of) the veiling of the women, I said, 'O Allah's Messenger (ﷺ)! I wish you ordered your wives to cover themselves from the men because good and bad ones talk to them.' So the verse of the veiling of the women was revealed. -3. Once the wives of the Prophet (ﷺ) made a united front against the Prophet (ﷺ) and I said to them, 'It may be if he (the Prophet) divorced you, (all) that his Lord (Allah) will give him instead of you wives better than you.' So verse the same as I said was revealed." (66.5).
Leta na nukuu za unayo yasema kwenye qur an kama zipo
Maana uislamu umejengwa kwenye qur an na sunna za s.a.w
Kama jambo halipo kwa qur an lipo kwa sunna za s.a.w
Kwahio sijajua unasema nini kijana mpaka muda huu
Hio hadithi inapingana na qur an au unasemaje?
 
Nailicho gundua kwako haujui kingereza , unauliza maswali ambayo majibu yapo ndani ya nilichokuwekea
 
Ntaanzia chini kuja juu huko suala la maendeleo kwa afrika tokea zama na zama kwakiasi kikubwa lililetwa na hao hao wageni kama sio wazungu waarabu ama wachina
Nani alojenga miji kama zanzibar alowajengea kama reli alojenga timbuktu alojenga gao alojenga kule rasi ya tumaini jema sijui alojenga reli ya tazara
Kiufupi dini zenu hizo mnazozihubiria hazikuwahi kuwaletea manufaa ya aina yeyote ile
Tukija kwenye tamaduni ndio maana nikakwambia kwamba uarabu sio uliounda uislamu sababu kwenye historia uislam haukuanzia kwa waarabu nakukumbusha tu kwamba s.a.w sio mtume wa mwanzo ni wamwisho kabisa hvyo uislam haukuanzia kwake uliendelea tu huko nyuma kulikua na mitume ama manabii wasiokua waarabu unadhani waliongea lugha gani
Shida ni kwamba mnadhania uislamu umeanzia kwa s.a.w ambae ni muarabu nikujuze tu inasemekana nabii Muhammad s.a.w ndio nabii pekee alietokea kwa waarabu nandio ikazaliwa chuki ya wayahudi kwa uislamu ama kwa Muhammad s.a.w sababu manabii wanyuma huko walikuepo wayahudi walikuepo wazungu walikuepo na waarabu na wengineo usikute hata waafrika walikuepo pia

Shida zenu nikudhania kwamba uislamu umeanzia ama ulianzia kwa waarabu na ulianzia kwa s.a.w

Kwenye mitume au manabii inasemekana walikua zaidi ya laki moja Muhammad s.a.w ndio wa mwisho na inasemekana pekee ndio alikua muarabu sasa hapa hoja kua uislamu ni uarabu mnaipatia wapi vijana nyie
emoji848.png

Nakuelewa, lkn bado nina shida kupata maana kwa nini nabii huyu wa mwisho alikuja kutengua torati kuanzia za mitume wengine, kuanzia lugha mpaka content and context. Pia kuna namna ambayo mtume huyu kapewa utukufu kama vile bikira Maria alivyopewa utukufu na wa RC.

Kuhusu Afrika weka heshima mbele. Tatizo letu ni documentation. Dini zetu hazina msingi wa maandishi. Kwa hiyo hatujui waliamini nini. Nani walikuwa mitume. Wangekuwa wameandika kama watu wa desturi nyingine, tungekuwa na msingi wa imani yetu, pia tungewajua mitume wetu wenye nguvu na kuanza kuwaelewa.

Please elezea kuhusu lahaja za kiarabu pia.
 
Uislamu kabla ya ujio wa s.a.w ulikua na manabii wengi kama nlipokueleza hapo juu na walikuja na vitabu vyao ingawaje wengine walishea mfano kama nabii mussa na ibrahim walishea kitabu kimoja na wengine pia wali share
Kilicho tokea ni kwamba hata hao waliopita walikua wanafanya aloyafanya s.a.w kutokana na wakati ule walikuwapo wao sababu uislamu ulikua unaendelea kukua na kukua haukua umekamilika uislamu totally kabisa hakuna kuzidi jambo wala kupungua jambo wakati alipokuja s.a.w na aliwaambia kabisa maswahaba kama umefatilia hija ya kuaga ya s.a.w aliwaambia sura ya 5:3

Leo nimekukamilishieni Dini yenu, na kukutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe ndiyo Dini yenu ." Kama ilivyoelezwa katika aya hii, Uislamu ulikamilishwa na Mtume Mkuu. Aliwafundisha wanadamu njia za kufikia furaha hapa duniani na akhera

Kwa maana hio manabii woote waliopita uislam haukua umekamilika hapo ndio uislamu ulikamilika rasmi

Kuhusiana na Africa naiheshimu sana ila ukweli ni kwamba hawakua na maendeleo yeyote kabla ya ujio wa watu weupe eidha wazungu waarabu ama wachina dini walikua nazo sababu dini ni mfumo wa maisha yaani hata wewe unaweza ukaamua kuunda dini yako inawezekana ila shida inakuja pale pale dini yako itakua ya haki kama ulivyo uislam ama utatumia vigezo vipi kuikamilisha maana uislam umekamilika hapo na ushahidi wa aya huo hapo juu

Hapo kwa lahaja nielezee kwa engo gani labda sijakuelewa vyema

Ila tumekubaliana kama uislam sio uarabu na uarabu sio uislam sababu manabii wote ukitoa s.a.w hawakua waarabu?
 
Nailicho gundua kwako haujui kingereza , unauliza maswali ambayo majibu yapo ndani ya nilichokuwekea
Heheeeeee inawezekana nikawa sijui kiingereza
Sasa unaonaje ukaleta kwa kiswahili nnachokijua badala ya kuleta kwankiingereza ambacho sikijui
Halaf kasome suala la muafakat kwenye uislamu
 
Uislamu kabla ya ujio wa s.a.w ulikua na manabii wengi kama nlipokueleza hapo juu na walikuja na vitabu vyao ingawaje wengine walishea mfano kama nabii mussa na ibrahim walishea kitabu kimoja na wengine pia wali share
Kilicho tokea ni kwamba hata hao waliopita walikua wanafanya aloyafanya s.a.w kutokana na wakati ule walikuwapo wao sababu uislamu ulikua unaendelea kukua na kukua haukua umekamilika uislamu totally kabisa hakuna kuzidi jambo wala kupungua jambo wakati alipokuja s.a.w na aliwaambia kabisa maswahaba kama umefatilia hija ya kuaga ya s.a.w aliwaambia sura ya 5:3

Leo nimekukamilishieni Dini yenu, na kukutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe ndiyo Dini yenu ." Kama ilivyoelezwa katika aya hii, Uislamu ulikamilishwa na Mtume Mkuu. Aliwafundisha wanadamu njia za kufikia furaha hapa duniani na akhera

Kwa maana hio manabii woote waliopita uislam haukua umekamilika hapo ndio uislamu ulikamilika rasmi

Kuhusiana na Africa naiheshimu sana ila ukweli ni kwamba hawakua na maendeleo yeyote kabla ya ujio wa watu weupe eidha wazungu waarabu ama wachina dini walikua nazo sababu dini ni mfumo wa maisha yaani hata wewe unaweza ukaamua kuunda dini yako inawezekana ila shida inakuja pale pale dini yako itakua ya haki kama ulivyo uislam ama utatumia vigezo vipi kuikamilisha maana uislam umekamilika hapo na ushahidi wa aya huo hapo juu

Hapo kwa lahaja nielezee kwa engo gani labda sijakuelewa vyema

Ila tumekubaliana kama uislam sio uarabu na uarabu sio uislam sababu manabii wote ukitoa s.a.w hawakua waarabu?

Swali lako la mwisho, sijakubaliana nalo. Ila naheshimu maoni yako. Binafsi bado sijaona tofauti iliyopo kati ya dini na lugha. Pia tamaduni. Kwa sababu sijapata uthibitisho toka kwako kuonesha kwamba kabla ya kuja Mohammed uisilam ulikuwa hautumii lugha ya kiarabu. Na ulikuwa ukitumia lugha gani?
 
Hujakubaliana kwa nini ntakuelewesha ili tukubaliane mzee lipi hilo
Uislamu kabla ya ujio wa s.a.w nimekueleza kule juu kwamba uliwahi kua na manabii zaidi ya 80 elfu na wote hao hawakua waarabu walitumia lugja tofauti kabisa na kiarabu
Kama sijakosea nabii mussa ama nabii issa kuna mmoja wapo nilisikia alikua akizungumza kiebrania (nishasahau lugha ila haikua kiarabu) kiarabu kimezungumzwa kwenye dini na s.a.w pekee mkuu
Kuona tofauti ya dini na lugha ni ngumu sababu qur an imekuja kwa maandiko ya kiarabu na vitu vingi vimekuja kwa lugha hio sababu ndio ilikua lugha inayozungumzwa na Mtume wa wakati huo huu
Uthibitisho wa kiaje unaoutaka kuhusiana na kabla ya ujio wa mtume s.a.w
 
Back
Top Bottom