Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.


Mimi pengine naweza kukubaliana na wewe iwapo ibada zenu na vitabu vyenu vitaandikwa kwa lugha ya asili ya watu wa eneo hususa. Lakini kwa utaratibu huu mlio nao, mnatupigia kelele kwa adhana ya kiarabu, inakuwa ngumu kumeza. Ninyi ni wafuasi wa kiarabu na tamaduni zake.
 
Wacha urongo wewe mkariri Quran.. Huyu Mudi aliulizwa jinsi alivyoshushiwa Quran akasema Malaika alikuwa akimjia huku akitoa milio ya kengere.. ina maana alikuwa akitafsiri milio ya kengere kuwa ya kiarabu sasa Milio ya kengere ndio Kiarabu? na hii inaonesha Quran ni Tafsiri hakuna original. Maislam ni majitu Majinga Quran yenyewe walio nayo ni Tafsiri ya mtu ambaye alikuwa maarufu kwa Uongo Asbab al-Nuzul

‘Ā'ishah (may Allah be pleased with her) reported: Al-Hārith ibn Hishām (may Allah be pleased with him) asked the Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him): "O Messenger of Allah, how does the revelation come to you?" The Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "Sometimes it comes to me like the ringing of a bell, and that is the hardest for me. When it leaves me I remember what it has said. And sometimes the angel appears to me in the shape of a man, he talks to me, and I understand what he says." ‘Ā'ishah (may Allah be pleased with her) said: "I saw him when the revelation was descending upon him on a very cold day. When it had left him, his forehead was dripping with sweat."

Sahih/Authentic. - [Al-Bukhari and Muslim]

Ishah amesema: “Harith bin Hisham alimuuliza Mtume wa Mwenyezi Mungu : “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Je, ufunuo unakujieni?" Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema: “Wakati fulani hunijia kama mlio wa kengele, na hilo ndilo gumu zaidi kwangu. Linaponiacha nakumbuka lilivyosema. malaika ananitokea katika umbo la mwanadamu, anazungumza nami, na ninaelewa anachosema." ‘Aisha akasema: “Nilimuona wakati wahyi ulipokuwa unamshukia katika siku ya baridi kali. Ilipomtoka, paji la uso wake lilikuwa linatoka jasho.
Sahih/Sahihi. - [Al-Bukhari na Muslim]
Yaani Story za uongo uongo Nasema Waislam wana haki ya uongo na kudanganya sababu wanaowafuata walikuwa waongo zaidi... hadi Jasho kwenye baridi kali.. Sauti za Kengere Malaika anazitoa na Njemba inaelewa na kuzibadilisha kuwa Kiarabu...
View: https://www.youtube.com/shorts/5Iqpq4AIjH4?feature=share
Huo Mlio ndio unasema Bismilah rahman rahim according to Mohamad
 
Siku ukiwa na akili timamu uje nikupige msasa uelewe haya mambo sio kukurupuka
Shida mkishatoka kubarikiwa hua mnakurupuka kurupuka ndio shida huanzia hapa
 
Wamehamia rafa kuua wanawake na watoto,usiku wa kuamkia Leo wameua 90+,huko rafa waliwaambia watu waendele huko
Hapo juu tumeona video ya mtoto wa miaka 14 akimpiga visu Askri wa israel huyo ni mtoto au gaidi piga wote kwakuwa hujui nani sio gaidi nani gaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…