Hamas wametoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye vita Gaza

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza.

Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine zinazodhibitiwa kwa mbali.

Walikamatwa baada ya kambi yao ya kijeshi kuzidiwa na wapiganaji wa Hamas, na wengine kuuliwa, kama kawaida ya Israel wameficha hii habari kuitangaza wao wanapambana kuuwa watoto wagonjwa na raia wasiokuwa na hatia wanaharibu majengo

Hamas walikuwa wanaweza kuwauwa wote lakini wamewambia mtarudi kwenu sisi siyo kama jeshi lenu linauwa hovyo raia wasiokuwa na hatia.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1744387191273382397?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nyuso hizo nzuri zinaua watoto!! wanafanyia kazi jeshi lile lile linalowadhalilisha na kuwaua Wapalestina.

View: https://x.com/angeloinchina/status/1744391058669379598?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hakuna namna lazma tuikimbie ghaza. Hamas wanashirikiana na majini
Unacheza na Hamas IDF walijifanya kuingia kwenye beto mamee waliokimbia waliita chopa kila mmoja afe kivyake wameshindwa kuwasaidia hawa wanawake Hamas walivyoona wamebaki wanawake peke yao wanalia wakambia tulieni kuweni na amani.
 
Wanaukumbi.

Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza.

Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine zinazodhibitiwa kwa mbali.

Walikamatwa baada ya kambi yao ya kijeshi kuzidiwa na wapiganaji wa Hamas, na wengine kuuliwa, kama kawaida ya Israel wameficha hii habari kuitangaza wao wanapambana kuuwa watoto wagonjwa na raia wasiokuwa na hatia wanaharibu majengo

Hamas walikuwa wanaweza kuwauwa wote lakini wamewambia mtarudi kwenu sisi siyo kama jeshi lenu linauwa hovyo raia wasiokuwa na hatia.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1744387191273382397?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hapo Hamas wamezingua dawa yao wangewarudisha wakiwa walemavu ili wapate funzo
 
Unacheza na Hamas IDF walijifanya kuingia kwenye beto mamee waliokimbia waliita chopa kila mmoja afe kivyake wameshindwa kuwasaidia hawa wanawake Hamas walivyoona wamebaki wanawake peke yao wanalia wakambia tulieni kuweni na amani.
Unasimulia utafikiri ulikuwa uwanja wa vita
 
Standing in solidarity with Palestine signifies endorsing peace, justice, and equality. Let's unite efforts to foster a global environment where all nations can prosper in harmony and abundance.
 
Wanawake hawa Uislam unakataza kuwauwa kwenye vita.
Hao mabinti sio wanajeshi ni mateka waliochukuliwa 7/10 tatizo lenu waislam mnapenda misifa na nguvu hamnazo, propaganda za kipumbavu sana, unachukua picha kwenye X kwenye account za washiia wenzako then unatuletea ujinga wako humu kwa ma-great thinkers🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom