Sijakuelewa wavaa nepi ndio akina nani?Wavaa nepi hawawezi vita nchi yao haiwezi vita zaidi.
Uchumi wao umeanguka vibaya sana hata America apeleke mabillion hawawezi kurudisha hasara walio pata na wakiendelea week mbili na hi vita, wengine tutawafanyisha makazi kwenye mashamba hapo kigamboni 😂
Hapo zijaelewa , uzio wanaziba wakiwa ndani ya Gaza au wakiwa ndani ya Israel? Sawa kama waliokwenda kuziba wakashambuliwa lazima warudi nyuma wajiandae kupigana na adui alieonekanaMuda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na kubaki wazi muda wote wa karibu wiki mbili.Shambulio hilo la IDF kwa mujibu wa Hamas lilifanyika kwenye eneo la Khani Yunus.
Kwa mujibu wa wasemaji wa IDF huo ulikuwa ni mtego uliotegwa kwao na walifanikiwa kurudi nyuma haraka.
Israel-Hamas war: Air strikes pound Gaza, Hamas says repelled ground attack
Wanaotatuana marindaSijakuelewa wavaa nepi ndio akina nani?
ila majengo yao bado yanaendelea kubomolewa, wale walikuwa na nyumba za kupangisha, wakimaliza vita hakuna hata ukuta umebaki.Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na kubaki wazi muda wote wa karibu wiki mbili.Shambulio hilo la IDF kwa mujibu wa Hamas lilifanyika kwenye eneo la Khani Yunus.
Kwa mujibu wa wasemaji wa IDF huo ulikuwa ni mtego uliotegwa kwao na walifanikiwa kurudi nyuma haraka.
Israel-Hamas war: Air strikes pound Gaza, Hamas says repelled ground attack
Jeshi la IsraelSijakuelewa wavaa nepi ndio akina nani?
Netanyau?Jeshi la Israel