ni kweli, ilikuwa leo jumapili, na askari mmoja wa israel amekufa. nadhani walikuwa wanafanay majaribio waone wanaingiaje na hamas wamekaa mlangoni mwa mahandaki wanawasubiri. israel wenyewe wamekiri hilo na hamas wamesema hivyo, naangalia hapa al jazeera. kuwafuata hamas kule ni nguvu na watakufa wengi sana, ila cha muhimu ni kwamba hata kama mwaka utaisha, wataingia tu. silaha ya kwanza wamewanyima msosi, maji na umeme, tuone kama wataishi hivyo miaka yote kwenye mashimo. sema magaidi hawanaga dogo, si ukute wameanza kuwalala wanawake wa kiisrael mateka, unakumbuka boko haram walizalisha vitoto kibao kwa mateka na wanawake wakawa wanapenda warudi kulekule wakawe boko haram milele.