Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Magaidi wa Hamas Wiki hii walitangaza kwa mbwembwe nyingi kuwa Jumamosi haitawaachia mateka wa Israel kwa sababu mbalimbali ilizozisema kisha Trump katangaza kiama kwa magaidi hao na mwisho Waziri Mkuu wa Israel yeye Ali Waambie magaidi hao kuwa atafungulia lango la kuzimu kwa magaidi hao na hak utakuwa tena usitishwaji mapigano hadi magaidi hao wang’olewe huko Gaza ikiwa Jumamosi hawatawaachia mateka wa Israel. Waziri wa ulinzi wa Israel naye alianza kuifanyia kazi mara moja krauli ya Netanyahu kwa kufurahia likizo zote kwa wanajeshi wa Israel na kuli weka jeshi hilo kącika hali ya Tahadhali(High Alert) kukabiliana na tishio hilo la magaidi wa Hamas.
Baada ya Hamas kuona Mkwara mbuzi huo leo asubuhi wameamua kutii na wamesema Jumamosi watawatoa hao mateka bila wasi wasi.
Baada ya Hamas kuona Mkwara mbuzi huo leo asubuhi wameamua kutii na wamesema Jumamosi watawatoa hao mateka bila wasi wasi.