arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,166
- 4,005
Dada usipoteze muda wako....unabishana na mtoto wa form 4....sikuhzi wakifika form 1 wanapewa simu wanaanza kusumbua mtaani....Acha kupotosha watu, Hamas wamefikia uamuzi wa kuendelea na makubaliano ya kusitisha vita kwa kutangaza kuachia mateka watatu hapo kesho baada ya matakwa yao kufanyiwa kazi.
Hivi Sasa mamia ya malori yapo mpakani mwa Misri na Palestina (Rafah) yakiwa na nyenzo nzito za kuondolea vifusi pamoja na nyumba za dharura/muda mfupi zinazohamishika.
![]()
Israel-Hamas deal back on track, Gaza captives to be freed as planned
Hamas confirms that Cairo talks with mediators addressed obstacles that threatened the Gaza deal with Israel.www.aljazeera.com