The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
NETANYAHU AKBARDada usipoteze muda wako....unabishana na mtoto wa form 4....sikuhzi wakifika form 1 wanapewa simu wanaanza kusumbua mtaani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NETANYAHU AKBARDada usipoteze muda wako....unabishana na mtoto wa form 4....sikuhzi wakifika form 1 wanapewa simu wanaanza kusumbua mtaani....
Acheni ujinga Trump alitoa pendekezo lake lakini Israel ndiye muamuzi misafara ya misaada ilikuwa inaendelea kama kawaidi Hamas akajifaragua kutaka kutishia kuacha kuwaachia wafungwa kupigwa mkwara kidogo leo katangaza mwenyewe kuwa jumamosi atawaachia mateka hao. Hamas na waarabu-Koko wa buza mnaanza kupambana maua Hamas mnajidanganya magaidi wa Hamas hawasafishiki tena. Mwaka huu hawachomoki lazima watapigwa tu watake wasi takę,waachie wafungwa wasiachie mwisho wa magaidi hawa ni kupigwa tu maana hakuna namna Oct 07,2023 walinyea kambi!!Trump alisema waaachie mateka wote wakamjibu wao wanafuata makubaliano Kwenye makaratasi Israel atimize upande wake na wao watimize Yao Hata achiwa Hata mmoja bila gharama zilizoandikwa Kwenye makaratasi
Najua utabwabwaja sana tu maana mlishazoea kulishwa Matango pori acha sasa niwa pe ukweli muache kudanganya watu!! Unaongelea dini kwani hapa tuko kwenye Ibada? Kwa taarifa yenu Mwaka huu Hamas watajuta kuongea kiarabau!!
Fuatilia trump alisema mateka wote waachiwe hyo jmosi na hamas wamegoma kuwaachia mateka wote watawaacha walewale watatu kama makubaliano, na hamas waligoma kuwaachia hao matrka 3 kwa sababu israel ilikua inendelea kuua watu na kuzuia magari ya misaada isiingie ghaza wakasema vile kama shinikizo waache kufanya huo uhuniLile biti lilikuwa zito mno, Trump anazidi kujiongezea point.
Acha uongo .. israel ameharakisha hiyo misaad kwa sasa malori 1000 yameingia na bulldoz za kutosha aliyeufata hapo ni israelMagaidi wa Hamas Wiki hii walitangaza kwa mbwembwe nyingi kuwa Jumamosi haitawaachia mateka wa Israel kwa sababu mbalimbali ilizozisema kisha Trump katangaza kiama kwa magaidi hao na mwisho Waziri Mkuu wa Israel yeye Ali Waambie magaidi hao kuwa atafungulia lango la kuzimu kwa magaidi hao na hak utakuwa tena usitishwaji mapigano hadi magaidi hao wang’olewe huko Gaza ikiwa Jumamosi hawatawaachia mateka wa Israel. Waziri wa ulinzi wa Israel naye alianza kuifanyia kazi mara moja krauli ya Netanyahu kwa kufurahia likizo zote kwa wanajeshi wa Israel na kuli weka jeshi hilo kącika hali ya Tahadhali(High Alert) kukabiliana na tishio hilo la magaidi wa Hamas.
Baada ya Hamas kuona Mkwara mbuzi huo leo asubuhi wameamua kutii na wamesema Jumamosi watawatoa hao mateka bila wasi wasi.
Hili ni tatizo la mentality yako mkuu kudhania Israel ina MAAJABU ya kujua KILA KITUKinachofanya israel washindwe kuwakomboa mateka wao ni nini haswa? Wana jeshi imara,mbinu na silaha nzito za kutosha why?
Hamas waliwezaje kuingia israel wakawachukua mateka na kuondoka nao?
Endelea kuuanika ujinga wako hayo maroli 1,000 nani kakuambia? Au uko kwenye harakati za kuwasafisha magaidi wa Hamas?Acha uongo .. israel ameharakisha hiyo misaad kwa sasa malori 1000 yameingia na bulldoz za kutosha aliyeufata hapo ni israel
Utakuwa mjinga kufikiria hivyo sasa hivi hata uchaguzi ukirudiwa Netanyahu anashinda kwa kishindo kikubwa sana.Mateka wakiisha kesi ya netanyahu itakua ishahukumiwa,uchaguzi utafanyika, netanyahu hatokua mamlakani,kinachomfanya apende vita ni kuogopa kesi
mashikrika ya misaada yalipenyeza wahuniKinachofanya israel washindwe kuwakomboa mateka wao ni nini haswa? Wana jeshi imara,mbinu na silaha nzito za kutosha why?
Hamas waliwezaje kuingia israel wakawachukua mateka na kuondoka nao?
Kwa sababu mnajifichia mgongoni mwa akina mama na watoto; hata midume mingine ya Kamas inavaa burkaMwaka na nusu hawajuwi mateka wako wapi?Stupid IDF
Iran alianza kuacha kusikika baada ya yeye kuishambulia Israel kwa kigezo cha kulipiza kisasi baada ya kuuliwa Gaidi Ismail Hanniyeh huko Tehran,Mwezi Oct Mwaka Jana alipoishambulia Israel Israel nayo iliamua kulipiza kisasi na kushambulia maeneo Mhimu ya Iran ikiwemo mifumo yake ya ulinzi wa anga hivyo Iran ikabaki uchi wa Mnyama. Ikawa inabwabwaja tu na baada ya Assad wa Syria kupinduliwa israel iliziba mianya yote ya Iran kupeleka silaha wa Hezbollah hivyo mpaka sasa hivi Iran Hana ubavu tena wa kusa Isia magaidi wa Hezbollah. Sasa hivi anajijenga upya tu baada ya kipigo kutoka Israel.Iran mbona hasikiki tena? Kapatwa na nini?
Kuhusu uchaguzi huko Israel Netanyahu hawezi kugombea maana anatuhumiwa Serikali yake kuzembea mpaka kuwezekana mashambulizi ya magaidi wa Hamas hapo Oct 07,2023. Wananchi wa Israel wameamuacha kwenye nafaszerowane hiyo ya uwaziri Mkuu kwa sababu Yeye ni mzoefu Katika minyukano na waarabu na ana uzoefu wa kutosha kuwachachafya waarabu na walishamwambia a kimali za kazi ya kuwashughulikia Hamas hataendelea na uongozi tena. Hata hivyo hata akiachia nguzi atakuwa amen ha kumbukumbu nzuri ya nchi yake kupigana na pandę saba ( Seven Fronts) na kuweta kuibuka mshindi baada ya Oct 07,2023 Syria,Iraq,Hezbollah,Houth kwa pamoja walianza kuishambulia Israel iran naye aliji Giza mzima mzima lakini wote waliangukia pua hivyo kusababisha kuanguka kwa utawala wa Assad huko Syria Hamas,Hezbollah na Houth kupigishwa magoti maana nią yao hasa ilikuwa kuishambulia Israel kutoka pandę mbalimbali ili kuweza kuishinda Israel kwa urahisi kitu ambacho hakikuwezekana Majeshi ya Israel yaliweza kuwapiga wote hivyo kuvunja rekodi ya kupigana Kazika Seven Fronts na kuishinda. Hivyo Benjamin Netanyahu atakumbukwa kuwa shujaa wa Israel.Utakuwa mjinga kufikiria hivyo sasa hivi hata uchaguzi ukirudiwa Netanyahu anashinda kwa kishindo kikubwa sana.
Approval rate ya Wananchi wake kwa Waziri mkuu wao ni 90% hata kama asipogombea akimpendekeza mwingine yeyote atashinda kwa kishindo ili aendelee kutoa Dozi kwa maadui wa Israel.Kuhusu uchaguzi huko Israel Netanyahu hawezi kugombea maana anatuhumiwa Serikali yake kuzembea mpaka kuwezekana mashambulizi ya magaidi wa Hamas hapo Oct 07,2023. Wananchi wa Israel
Kulingana na sheria za Israel hawezi kugombea tena maana ni mtuhumiwa baada ya vita uchunguzi utafanyika kwa nini Serikali yake ilizembea hata kusababisha mashambulizi ya kinyama kufa Niki wa hapo Oct 07,2023; kuna viongozi wengi tu walishawajibika kwa kujiuzuru nyadhifa wao hata Mkuu wa majeshi naye mwezi ujął anajiuzuru wadliwa wake huo. Netanyahu yeye wameamua ha kwa kazi maalum kushughulika na Wafuga Midevu na Majini mpaka kieleweke.Approval rate ya Wananchi wake kwa Waziri mkuu wao ni 90% hata kama asipogombea akimpendekeza mwingine yeyote atashinda kwa kishindo ili aendelee kutoa Dozi kwa maadui wa Israel.
Leta ushahidiApproval rate ya Wananchi wake kwa Waziri mkuu wao ni 90% hata kama asipogombea akimpendekeza mwingine yeyote atashinda kwa kishindo ili aendelee kutoa Dozi kwa maadui wa Israel.
dini imeingiaje hapa?Wewe ni mwehu sana, nani atasoma huu upuuzi wako ungeijua dini ya mayahudi wala usingekuja hapa na ufurukutwa, mayahudi wanamtukana yesu na kumwita mtoto wa zinaa, dini yao ni judaysim na katika hii vita waliwauwa kwanza wakiristo ndio wakaja kwa waislam, siju unatetea nini
Wenzako wanaojielewa huko duniani na hata huko Israel wanaandama kupinga ushetani wa Netanyahu,
Kuhusu ugaidi ata wewe unaeshabikiwa watu kuuliwa ni gaidi usiye na shaka