Hii ndiyo shida ya Wafuga Midevu na Majini aliyekuambia mimi Nina shida na dini ya wayahudi ni nani? Moona hata waislamu wanamtukana yesu hapa hapa kwetu mimi hiyo si hoja yangu watukane wasimtukane mimi hainihusu kila mtu ana imani yake!! Acha ujinga na Upumbavu kwa hiyo kwa wewe kusema hivyo unafikiri ndiyo wakristo watawachukia wayahudi? Kwa taarifa yako tu Wakristo wamejengwa kwenye UPENDO si kwenye chuki Kama nyinyi. Umeongelea pia ujinga wa wanaoandamana huko Ulaya na Marekani hao wengi wao ni wahamiaji kutoka nchi za kiarabu na wengi ni wahamiaji haramu wanaandamana na kuleta usumbufu kwa watu wengine kosa Gaza jiulize kwa nini wakiendelea kuandamana huko Gaza!? Unanilaumu Mimi kuwaunga mkono wayahudi kwa lipi? Hivi unajua Magaidi wa Hamas waliyoyafanya huko Israel kulikopelekea Israel ianze kuwabonda magaidi hao? Au unajitoa ufahamu kutoka juma yaliyotokea Oct 07,2023? Acheni ujinga!!!!