Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Abu Ubaida,yule msemaji machachari wa Hamas ametoa video ikionesha askari kadhaa wa Israel waliotekwa nyara baada ya wenzao kufa na wengine kujeruhiwa.
Kwa mujibu wa Abu Ubaida tukio hilo lilitokea ndani ya kambi ya Jabalia kaskazini ya jiji la Gaza ambayo kwa wiki kadhaa imekuwa kitovu cha vita vikali baina ya Hamas na jeshi la Israel.
Kutekwa kwa askari hao wapya zaidi ya miezi 7 ya vita kunatokea sambamba na kuokotwa kwa maiti kadhaa za mateka wanaotafutwa na jeshi la Israel ndani ya jimbo hilo.Katika kipindi cha wiki 2 maiti za matekwa hao zimekuwa zikiokotwa na jeshi la Israel katika vikundi vya watatu watatu.