Hamas watekeleza ahadi yao kuwa uvamizi wa Rafah hautakuwa kama piknik kwa jeshi la Israel

Hamas watekeleza ahadi yao kuwa uvamizi wa Rafah hautakuwa kama piknik kwa jeshi la Israel

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Mbinu za hali ya juu zinazotumiwa na wapiganaji wa Hamas kupambana na askari wa Israel wanaoelekea kuivamia Rafah,zimeelezwa na wachambuzi wa kuvita kuwa wapiganji hao bado wamejipanga kuendelea na mapigano na hawajakata tamaa ya kupata ushindi japo wamezingirwa na wanapambana na jeshi lenye silaha za kisasa.

Mapema leo wapiganaji hao wamefanikiwa kuwazuia askari wa Israel kusonga mbele baada ya kuwarushia makombora aina ya thermobaric pamoja na silaha nyengine.

Mapigano mengine makali yanaendelea kaskazini ya Gaza kwenye eneo la Zeitoun ambako tangu vita vianze Israel imeshindwa kuingia.

Shambulio jengine la kushangaza limefanywa na Hamas leo kwa kurusha makombora kwenye mji wa Bersheva ulio kusini mwa Israel ambapo Israel imesema mtu mmoja tu ndio amejeruhiwa katka shambulio hilo.
 
Hamas wanarusha makombora kutoka wapi? Sio walipo raia wa kawaida kina mama na watoto?

boom Zito likitupwa kwenye ilo eneo / jengo hakuna raia wa kawaida watazulika?

ndio ni kitu bora kumvizia adua na kumpiga ila je baada ya kumpiga nn kitafuata ni calculation za kupiga kuepuka madhala

Kuna vitu Sio vya kushangilia ni pamoja na vita
 
suali lako hata Israel wanajiuliza na wameshindwa kupata jibu baada ya miezi 7 ya vita.
 
Israel alituambia week tatu tu itamaliza Gaza 😄

Hamasi ni wanaume aisay km 35 Gaza yote na Israel, US, Europe, India, Korea na wanafiki wa kiarabu wameshindwa kuwatoa Hamas hapo Gaza.
 
Israel alituambia week tatu tu itamaliza Gaza [emoji1]

Hamasi ni wanaume aisay km 35 Gaza yote na Israel, US, Europe, India, Korea na wanafiki wa kiarabu wameshindwa kuwatoa Hamas hapo Gaza.
Wapi israel walisema watatumia wiki 3 tupe ushahidi ndugu?
 
Bado mnawajaza hamas upepo ! Mnataka uzao wa palestinians uishe? Wapalestina kufa hamas atapata faida gani? Iran, Turkey , Egypt kama wana uwezo wapeleke jeshi pale Gaza.
 
Israel hawezi vita bila kusaidiwa hata Natanyahau anabweka tu, na huyo Biden anadai atazuia silaha siziende Israel yote hayo ni uwongo tu, silaha zinakwenda na jeshi la America wapo huko wanamsaidia Israel.

Egypt hawezi kuingia vita sababu huyo kiongozi kawekwa na US, lakini Egypt anamcharaza Israel kama mtoto bila kusaidiwa na America.

Iran alisha mchapa Israel na Natanyahau alikunja mkia kama vile mbwa akiogopa chui

Turkey hivi we unadhani Israel ana ubavu wakupigana na Turkey haha, kweli vichaa wako wengi humu.
 
Hawajakata tamaa ya kupata ushindi japo wamezingirwa 😱😀
Kha! Magaidi Wamezingirwa na bado wanadhani watapata ushindi. Hii akili ya wapi cjui. Hizi ahadi za mabikra 72 ...... :CarlosPls:
 
Back
Top Bottom