Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mbinu za hali ya juu zinazotumiwa na wapiganaji wa Hamas kupambana na askari wa Israel wanaoelekea kuivamia Rafah,zimeelezwa na wachambuzi wa kuvita kuwa wapiganji hao bado wamejipanga kuendelea na mapigano na hawajakata tamaa ya kupata ushindi japo wamezingirwa na wanapambana na jeshi lenye silaha za kisasa.
Mapema leo wapiganaji hao wamefanikiwa kuwazuia askari wa Israel kusonga mbele baada ya kuwarushia makombora aina ya thermobaric pamoja na silaha nyengine.
Mapigano mengine makali yanaendelea kaskazini ya Gaza kwenye eneo la Zeitoun ambako tangu vita vianze Israel imeshindwa kuingia.
Shambulio jengine la kushangaza limefanywa na Hamas leo kwa kurusha makombora kwenye mji wa Bersheva ulio kusini mwa Israel ambapo Israel imesema mtu mmoja tu ndio amejeruhiwa katka shambulio hilo.