HAMAS wayakataa mapumziko uchwara ya vita, Ramadhani

Viongozi wa hamas wanakataa mapumziko huko wao wamejificha lebanon, Qatar, syria wapalestina wanaendelea kukaangwa na mabomu ya israel

Mawazo mgando kazini.

Wanaokaa nje ya Gaza ni Hamas uhamishoni kama walivyo wapalestina wengine wanaonyimwa haki ya kurejea Palestina na Israel.

Hamas uhamishoni ndiyo wanaokwenda mikutanoni kwa ridhaa kamili ya wapalestina.

Umewasikia wapalestina wepi wakilalamikia uwakilishwaji na Hamas popote?

Hamas ni wamoja. Na huo ni mwiba mchungu mno Kwa Israel na vikaragosi wao kina ninyi.
 
Pesa imeanza kukata na uchumi kudorora .

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Sawa! Mapambano dhidi ya ugaidi yaendelee

Na mapambano yaendelee hadi taifa huru la Palestina kupatikana.

ANC iliasisiwa 1912 kupigania uhuru uluopatikana 1994. Wahanga walikuwa wangapi?

Vita vya ukombozi vinahitaji wanaume haswa. Zingatia kina Winnie walikuwa baadhi ya wanaume washoka hao.

Vikaragosi kama nyie ndiyo zile design za kina Buthelezi kwenye ubora wenu.
 
Hivi mbona sioni hamas wakijibu mashambulizi? Naona israel anawabonda tu hata warushi tena roket

Wewe ndivyo unavyoona?



Kwani waisrael wenyewe wanasema je?

"Kwamba unadhani unavyoona wewe kuna umuhimu wowote kweli?"

Mbona makubwa!
 
Wale masheikh akina Mwaipopo wana undugu na DP WORLD?jitihada zao zilikuwa ni athari za kikoloni na utumwa.

Masheikh au madhehebu zozote za dini hazihusiki Gaza:



Mzozo wa Gaza si wa kidini.
 
Wazipige tu HAKUNA namna

Kwa hakika kama ni "pause" kupisha Ramadhani na zipigwe tu!

Mwomga "pause:" Israel na Marekani.

Mkataa hoja: HAMAS na Palestina.

Kwa hakika na zipigwe tu.
 
Mkuu kuna watu wanachelewa sana kuelewa, hoja uliandika inahitaji kuweka ushabiki kando na kuandaliwa utu, na hapo ndipo ilipo ugumu

Bila kusahau Maji maji, Mau mau na hata mapinduzi matukufu Zanzibar walikufa watu wengi sana ambapo ni bila shaka kueleweka bila kuandaliwa vyema kiutu, upo mgumu kama hii ya Gaza.
 
pekeka naww mtoto wako akapigane

Kila mtu anapigania nchi yake wangu alipigana maji maji Maji, Kagera na mapinduzi ya Zanzibar.

Wangu akapigane vipi Mau Mau, Haiti, Sudan, Nigeria, Somalia au Ukraine huko?

Nchi hupiganiwa na wananchi.
 
Hamna cha ukombozi. Ule ni ugaidi full
 
Hamna cha ukombozi. Ule ni ugaidi full

Waungwana wakiwamo kina Mandela na CV zao walitambua ni ukombozi:



Ila kinyangarika wewe nyuma ya fake ID na bado hujishangai?

Kama wewe zaidi ni Tanzania ambako CV bora zaidi ni ya kila kigaragosi nyuma ya fake ID.

Bure kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…