- Thread starter
- #21
Viongozi wa hamas wanakataa mapumziko huko wao wamejificha lebanon, Qatar, syria wapalestina wanaendelea kukaangwa na mabomu ya israel
Mawazo mgando kazini.
Wanaokaa nje ya Gaza ni Hamas uhamishoni kama walivyo wapalestina wengine wanaonyimwa haki ya kurejea Palestina na Israel.
Hamas uhamishoni ndiyo wanaokwenda mikutanoni kwa ridhaa kamili ya wapalestina.
Umewasikia wapalestina wepi wakilalamikia uwakilishwaji na Hamas popote?
Hamas ni wamoja. Na huo ni mwiba mchungu mno Kwa Israel na vikaragosi wao kina ninyi.