Hamas yakanusha madai ya Israel ya kusonga mbele Gaza. Waonesha video za kipigo chao kwa IDF

Idf waoga sana ndio maana walitaka internet isiwepo ili kuficha aibu
US na Europe wana msaidia Israel na wote wanarudisha maiti nchi zao walidhani Hamasi ni mchezo ๐Ÿ˜„

Afu hao wakisema Israel ipo Centre Gaza ujuwe wapo border
 
Israel hamna Jeshi pale ni Wanamgambo tu tena bora hata Suma JKT
 
Mkuu unajifariji ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ
Baada ya kichapo cha IDF kukolea
 
Wameamua kufa kisabuni
 
Kichapo gani anapiga wanawake na watoto awatafute wanaume Hamas tuone sio wanarusha rusha mabomu kwa uwoga kuua raia
Waambie watoke mashimoni wapambane na wanaume wenzao juu,
 
NAWAOMBENI NDUGU ZANGU WAISLAMU MTUOMBEE SISI WARAABU WA GAZA MAANA KICHAPO KIMETUZIDIA WALAH BILAH .
ENYI UMMA WA KUICHUKIA ISRAEL MTUOMBEE TWAFAAAA!!!๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ
 
Walahiii tunakanusha tu kujikaza ila twafa huku,,,albadiri hazifanyi kazi kwa wayahudi.
Mzee huyu amekubali kua aliingizwa mkenge kuanzisha vita wasiyoiweza..
 
Najiuliza sana kwanini hao HAMAS wenyewe wasiingie ndani ya ISRAEL na kuisamabaratisha kabisa?

kwanini wadokoe dokoe kama PANYA na kukimbilia kwenye mashimo?
Hawana ndege za kivita na vifaru,wasipokimbilia chini, Israel watatumia ndege za kivita kuwamaliza,na itakua rahisi kwa Israel Jambo ambalo si zuri kwa hamas
 
Eeeeeh mola wetu wa kiarabu ALLAH utukumbuke sisi waja wako waarabu wa Hamas.
Maana mungu wa wayahudi YEHOVA anaonekana kakuzidi Nguvu na maarifa??
Maana tunachapika na wewe hutusaidii??
TUNAPIGIKA SANA NA HAWATAKI CEASE FIRE
 
Video Iko wapi?
 
Calendar of Resistance for Palestine! Events and actions around the world

7 October 2023

Everywhere around the world, millions are marching for Palestine. Over 300,000 took the streets of Washington, DC, in the belly of the beast, to stand with the Palestinian people against Zionist genocide. Labourers from Belgium to Japan to Barcelona have refused to load and carry weaponry for the occupation regime, while Block the Boat protests from Oakland to Tacoma have delayed, blocked and confronted US military ships loading war materiel. Palestine Action direct actions are challenging Elbit Systems from Cambridge to Leicester. In train stations, parliamentary and congressional offices and public venues, people are sitting in for Palestinian liberation.

Calendar of Resistance for Palestine! Events and actions around the world
 
Hamas ni sawa na mwanaume anayempgia puli mke wa jirani yake kwa hisia kama yupo nae halafu akishakojoa anajisifu kua kamtomb.. mke wa jirani yake

Huna hoja, unaongea maneno machafu hata aibu huoni! Pole sana

Mayahudi wanauwa watoto na wamama
Hamas wanauwa wanajeshi

Sijui nani yupo sahihi hapo! Kaa utafakari, na uache chuki
 
Watoa propaganda ni wale walio vuruga Internet ili watu wasipate habari za uhakika kwenye uwanja ili wao walishe watu propaganda kupitia vyombo vyao vya habari.
Watu wanaikombia ardhi ya mababu zao mdogomdogo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
 
Umefanya uzembe wa hali ya juu kuzungumzia video kwenye heading yako huku ndani hujaiweka..

Hauitendei JF haki yake. Hii forum ina hadhi yake.
 
Najiuliza sana kwanini hao HAMAS wenyewe wasiingie ndani ya ISRAEL na kuisamabaratisha kabisa?

kwanini wadokoe dokoe kama PANYA na kukimbilia kwenye mashimo?
Exactly wandonyoa kama panya kwa kuwa wao nin I kikundi tu cha wanamgambo.

Unasema kuingia ndani ya Israel? Umesahau 7/10 kilichosababisha yote unayoyaona na kuyasikia leo?
 
Hiyo ni propaganda!
Angalia hii..
๐Ÿ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ