Hamas yakanusha madai ya Israel ya kusonga mbele Gaza. Waonesha video za kipigo chao kwa IDF

Lakini carpet bombing siyo nzuri. Wanataka waingie Gaza Ikiwa tambarare bila kujali civilian casualties?
hamas ni makomandoo sio wa kuwazarau, isingekuwa silaha na technolojia israel wangepigwa sana. kuliko kupoteza askari au watekwe israel wameamua kutumia njia ya aina hiyo, kwenda polepole kwa uangalifu. hawajawadharau.
 
Unawasikiliza hawa jamaa
 
Hakuna picha za raia 1400 wa Israel waliouawa,maiti chache zilizokutwa zinaonekana hazikupigwa na risasi Bali athari ya vifaru,Hamas hawakuwa na vifaru walipoingia Israel
Vipi wewe Ushasikia Hamas wamekufa na wao wamethibitisha hadi sasa?
 
Lakini carpet bombing siyo nzuri. Wanataka waingie Gaza Ikiwa tambarare bila kujali civilian casualties?
Jinai inafanyika mbele ya macho ya walimwengu
 
So Gaza ni kiwanda cha kuzalisha watoto... wanapigana sana miti.. Usikute Gaza ndio Jenha kwenye wale Mabikira 70 Uzao mmoja na Allah
 
So Gaza ni kiwanda cha kuzalisha watoto... wanapigana sana miti.. Usikute Gaza ndio Jenha kwenye wale Mabikira 70 Uzao mmoja na Allah
Mipango ya Mungu hiyo.Na hakuna mwenye uwezo kupambana naye akashinda.
Sisi wengine twatamani watoto na pamoja na kutumia gharama kubwa hakuna mafanikio.
Hilo la watoto wa Palestina hata Israel wanajuwa lakini pamoja na kuwafanyia vitimbi vya kuuwa uzazi na kwaoua kwa mabomu bado kazi inaendelea.
 
Hakuna uvivu.Nilikuwa naelekea madrasa tu kwa haraka.Lakini tayari nimeshakuwekea.Angalia pale juu utaona kazi inavyoendelea.
Sasa mbona ni miundombinu yao wenyewe wanaharibu na nimeshuhudia wanajeshi waxhache sana wanaodhurika tofauti na mnavyohariri. Halafu wame edit hiyo video kama movie za rambo. Jamaa miyetusho sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…