HAMAS yatuma salamu za Christmas kwa wakristo

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Hapa chini ni salamu za Christmas kwenda Kwa nduguze wakristo:





2. Ama kwa hakika ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni.

3. Ukitaka kumwamgamiza mtu mtafutie jina baya.

4. Mbowe, Slaa, Mwabukubusi na kina Mdude waliitwa magaidi "to justify the end."

5. Ningali na scan kutafuta salamu za Christmas kutokea CCM, Chadema, TLP, DEMOCRATS, GOP, ISIS, Al Shaabab, Azimio, nk.

6. Hapo #5 kupata picha ya magaidi wa ukweli in a nutshell.
 
Gaidi ni yule muislam anaezijua haki zake na kuwapinga wakandamizaji. Ukimuona muislam mtoto wake anaoa au anaolewa na asiekuwa muislam kwake ni sawa huyo daima hataitwa gaidi.
Muislam anaeoa au kuolewa na asiemuislam huyo ndio anaependwa na wasiokuwa waislam. Lkn siku ya hesabu Majuto makubwa yatamkumba
 

1. Mbowe, Slaa, Mwabukubusi au Mdude waliitwa magaidi lakini hawakuwa waislam.

2. Nadhani gaidi ni yule anayezijua haki zake anaposimama dhidi ya wenye madaraka na hasa walamba asali.
 
HATUZITAKI HIZO SALAM.

JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE
 
HATUZITAKI HIZO SALAM.

JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE
Na angalia pale Malaika walipo sema: ‘Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote.Ewe Maryamu! Mnyenyekee Mola Mlezi wako na usujudu na uiname pamoja na wainamao.’” (Kurani 3:42-43)


MARYAM HUYU MAMA YAKE YESU
 
Hamas hawajawahi kutuma salamu za Christmass kwa Wakristo tangu mwanzo wa enzi.Why now?
 
Hamas hawajawahi kutuma salamu za Christmass kwa Wakristo tangu mwanzo wa enzi.Why now?

Umejua je? Sijazisikia hata za CCM, TLP, CUF, UVCCM, RPF, FRELIMO nk why not, even of now?
 

Duuuuh, Mzee kuwa na Chembe ya Ubinadamu hata kidogo bas
 
Asante kwa andiko, sasa tupe na ile andiko inasema kwamba yule aliembebea Yesu msalaba ndie aliesulubiwa Ila Yesu mwenyewe aliingia mitini kuikwepa misumali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…