HAMAS yatuma salamu za Christmas kwa wakristo

HAMAS yatuma salamu za Christmas kwa wakristo

Adios bana hahaha nimecheka balaa. Ila nyie wadau wa upande mwengine full vituko yani full kucheka hakuna kukasirika. Nimecheka balaa
Nyie ndugu zetu tunapishana kwa kitu kimoja tu, we mungu wako binadamu, sisi Mungu wetu aliye umba kila kitu vliopo ardhini na mbinguni.

Hivi Yesu anaweza kukumba wewe, au hata sisimizi?
 
Nyie ndugu zetu tunapishana kwa kitu kimoja tu, we mungu wako binadamu, sisi Mungu wetu aliye umba kila kitu vliopo ardhini na mbinguni.

Hivi Yesu anaweza kukumba wewe, au hata sisimizi?
Mbona Quran tukufu imethibitisha Yesu alikuwa akiiumba.
 
Ila huyu wa Luka 14:7 humtaki
Namwongelea huyu aliyesema "mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi". YOHANA MTAKATIFU 14:6.

Ila huyu wa Mt 7:22-23:

"22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu."

Humtambui?
 
Mashetani mauaji,yenye chuki na kisasi yanapotuma Salam za Krismass.Ni dhihaka na fedheha
 
1. Tatizo la ugaidi hutegemea mwenye tuhuma kasimama wapi.

2. Kumbuka Mbowe, Slaa, Mwabukusi, Mdude na wengi wengine umeshawahusu.

3. Huenda hata kina Ben, Azory Mawazo, Lijenje au hata wa kwenye viroba waliitwa hivyo na aliyewapoteza.

4. Labda hata LIssu aliuveshwa.
Mbowe, Lissu na Slaa waliwahi kufanya ukatili dhidi ya binadamu wenzao kama Hamas walivyofanya kwa raia kule Israeli ikiwemo Mtanzania mwenzetu Mollel?!
 
Salamu za kinafiki hizo Hamas wamewaua joshua na clement walikuwa na hatia gani hawakuchukua ardhi ya wapalestina mbona
Magaidi nia yao ni kuleta hofu. Ndio maana Hamas waliua raia wasiokua na hatia akiwe ndugu zetu joshua na clement ili kutia watu hofu kwamba Israeli sio sehemu salama ya kuishi
 
Mbowe, Lissu na Slaa waliwahi kufanya ukatili dhidi ya binadamu wenzao kama Hamas walivyofanya kwa raia kule Israeli ikiwemo Mtanzania mwenzetu Mollel?!

Hukuwahi kusikia baadhi yao hapo kuwa na RB rasmi za ugaidi?
 
Magaidi nia yao ni kuleta hofu. Ndio maana Hamas waliua raia wasiokua na hatia akiwe ndugu zetu joshua na clement ili kutia watu hofu kwamba Israeli sio sehemu salama ya kuishi

1. Kwa maana hii kutokea kwa wanufaika wa dhwalimu mbalimbali:

"Terrorism is the unlawful use of violence and intimidation, especially against civilians, in the pursuit of political aims."

2. Kila aliyepambana na apambanaye dhidi ya ukoloni au ukandamizwaji ni gaidi.

3. Kwamba Nyerere, Kenyatta, Mandela, Mugabe, Gaddafi, Samora nk wote walikuwa mahaidi.

4. Kwa hakika kinachotakiwa na dhwalimu, kila kofi shavu moja geuza na la pili.
 
Mashetani mauaji,yenye chuki na kisasi yanapotuma Salam za Krismass.Ni dhihaka na fedheha

Mt 7:1-5 inao ujumbe mahsusi:

"Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi. Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa."
 
Back
Top Bottom