Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ati wanadai alikuwa Mpalestina 😳😳1. Hapa chini ni salamu za Christmas kwenda Kwa nduguze wakristo:
View attachment 2852233
View attachment 2852236
2. Ama kwa hakika ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni.
3. Ukitaka kumwamgamiza mtu mtafutie jina baya.
4. Mbowe, Slaa, Mwabukubusi na kina Mdude waliitwa magaidi "to justify the end."
5. Ningali na scan kutafuta salamu za Christmas kutokea CCM, Chadema, TLP, DEMOCRATS, GOP, ISIS, Al Shaabab, Azimio, nk.
6. Hapo #5 kupata picha ya magaidi wa ukweli in a nutshell.
Hivi ati wanadai alikuwa Mpalestina 😳😳
Yeye analijua hilo?
View attachment 2852906
View attachment 2852907
Ashakufa.Unafiki mbaya zaidi ni kuendelea kutomtaka yule bwana kutuma salamu hata za pole tu kwa familia za kina Ben, Mawazo, Azory au Lijenje na eti kuwalilia machozi ya mamba waliofia vitani.
Ashakufa.
Au kuna uwezekano wa wafu kujibu?
Seems nati inakatika kichwani hapo
Wale 1200 waliouliwa na hamas aana hatia ya kuuawa?Ni mtu mjinga tu anayeweza kusema waisraeli wanaua magaidi.israel wanaua watu wasio na hatia.kama unataka kuonesha wewe sio mjinga thibitisha kwamba hao waliouawa ni magaidi bila hivyo wewe ni mjinga na hufai hata kuwa mkristo.kwa sababu sifa moja wapo ya Ukristo ni kutokufanya au kusapoti unyanyasaji.alafu unaonesha ujinga wako hadharani.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mambo yakina lisu yanaingiaje Palestine mbona Saudi Arabia imeua wayemeni wengi hampigi,janjaweed imeua waislamu wengi na Bashar al Asad ameua waislamu wengi hakuna kelele ila Israel ikipambana na hamas waislamu mnalia Dunia nzimaKwa I waliowauwa wengi tu hapa nyumbani au kuwathubutu kina Lissu walikuwa na uhalali upi?
Walikua kidogo walitakiwa wauliwe zaidi ya hao ni haki yao kufaWale 1200 waliouliwa na hamas aana hatia ya kuuawa?
Asante kwa hio Aya yako nimeona haya DR Mambo Jambo ujeوَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا ٱلْمَسِيحَ عِيسَى ٱبْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ ٱللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ ٱلَّذِينَ ٱخْتَلَفُوا۟ فِيهِ لَفِى شَكٍّۢ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِۦ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا ٱتِّبَاعَ ٱلظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًۢا ١٥٧
Na- pia tuliwalaani- kwa sababu ya neno lao, kwa njia ya kukejeli na shere, «Sisi tumemuua Al- Masīh,, ‘Īsā mwana wa Maryam, mjumbe wa Mwenyezi Mungu.» Na wala wao hawakumuua ‘Īsā wala hawakumsulubu, bali walimsulubu mwanamume aliyefanana naye kwa kudhani kwao kuwa yeye ndiye ‘Īsā. Na yoyote aliyedai kwamba walimuua, miongoni mwa Mayahudi na pia wale waliomsalimisha kwao, miongoni mwaWanaswara, wote hao wako kwenye shaka na kuchanganyikiwa; hawana ujuzi wowote isipokua ni kufuata dhana tu, na wala hawana yakini ya kuwa walimuua, bali wana shaka nalo hilo na wanalidhania tu.
(4:157) surat annisai
Kwaiyo Yesu kauliwaUkristo sio dini, bali ukimkiri na kuamini ndio utakuwa wa Kristo. Yesu hakuja kueneza dini bali alikuja kiokoa waliopotea/wenye dhambi na watu wa dini ndio waliomuua.
Asomae na afahamu
ShukranAsante kwa hio Aya yako nimeona haya DR Mambo Jambo uje
Kwani wamekutumia wewe hizo salam au America, wamewatumia wa Palestine wenzao, wewe hata wanakujua? Wafuasi wa Paulo kweli ni kondoo haswa akiwa katokea vigunguti shida sanaHATUZITAKI HIZO SALAM.
JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE
Mambo yakina lisu yanaingiaje Palestine mbona Saudi Arabia imeua wayemeni wengi hampigi,janjaweed imeua waislamu wengi na Bashar al Asad ameua waislamu wengi hakuna kelele ila Israel ikipambana na hamas waislamu mnalia Dunia nzima
Walikua kidogo walitakiwa wauliwe zaidi ya hao ni haki yao kufa
Mpaka watakapo regelea walipokua kabla ya mwaka 1948 hapo huko itakua sio halali kuwafyeka
Namwongelea huyu aliyesema "mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi". YOHANA MTAKATIFU 14:6.Unayemwongelea ni huyu?
“Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!’
Au mwingine ndugu?
Si ndo ike nilokuambia..Asante kwa hio Aya yako nimeona haya DR Mambo Jambo uje
Adios bana hahaha nimecheka balaa. Ila nyie wadau wa upande mwengine full vituko yani full kucheka hakuna kukasirika. Nimecheka balaaKwani wamekutumia wewe hizo salam au America, wamewatumia wa Palestine wenzao, wewe hata wanakujua? Wafuasi wa Paulo kweli ni kondoo haswa akiwa katokea vigunguti shida sana
Waambie jf wakuondolee hio barafu kweny picha yako 😹😹HATUZITAKI HIZO SALAM.
JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE