HAMAS yatuma salamu za Christmas kwa wakristo

1. Hapa chini ni salamu za Christmas kwenda Kwa nduguze wakristo:

View attachment 2852233

View attachment 2852236

2. Ama kwa hakika ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni.

3. Ukitaka kumwamgamiza mtu mtafutie jina baya.

4. Mbowe, Slaa, Mwabukubusi na kina Mdude waliitwa magaidi "to justify the end."

5. Ningali na scan kuutafuta salamu za Christmas kutokea CCM, Chadema, TLP, DEMOCRATS, GOP, ISIS, Al Shaabab, Azimio nk.

6. Hapo #5 kupata picha ya magaidi wa kweli in a nutshell.
Watume salaam hizi kwa familia za Molel na mwenzake waliowaua.

Unafiki ni jambo baya ssna
 
Jana magaidi 70 ya familia moja yameuliwa pamoja na watoto na wanawake Gaza kwa kudondoshewa kitu kizito chenye ncha butu kikigusa ardhi tu kinalipuka pah.

Liangalie hilo njemba linavyolia mbele ya camera. Si anauhakika huo mzoga alioubeba utaenda peponi? Sasa kwanini alielie mbele ya camera? No MERCY.

Justice for Joshua and Clemence.
View attachment 2852246

Ritz ITR
Ni mtu mjinga tu anayeweza kusema waisraeli wanaua magaidi.israel wanaua watu wasio na hatia.kama unataka kuonesha wewe sio mjinga thibitisha kwamba hao waliouawa ni magaidi bila hivyo wewe ni mjinga na hufai hata kuwa mkristo.kwa sababu sifa moja wapo ya Ukristo ni kutokufanya au kusapoti unyanyasaji.alafu unaonesha ujinga wako hadharani.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Jana magaidi 70 ya familia moja yameuliwa pamoja na watoto na wanawake Gaza kwa kudondoshewa kitu kizito chenye ncha butu kikigusa ardhi tu kinalipuka pah.

Liangalie hilo njemba linavyolia mbele ya camera. Si anauhakika huo mzoga alioubeba utaenda peponi? Sasa kwanini alielie mbele ya camera? No MERCY.

Justice for Joshua and Clemence.
View attachment 2852246

Ritz ITR
Thibitisha kwamba hao ni magaidi or you are just fool.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Watume salaam hizi kwa familia za Molel na mwenzake waliowaua.

Unafiki ni jambo baya ssna

Unafiki mbaya zaidi ni kuendelea kutomtaka yule bwana kutuma salamu hata za pole tu kwa familia za kina Ben, Mawazo, Azory au Lijenje na eti kuwalilia machozi ya mamba waliofia vitani.
 
F3P1IHWXkAA8KLb.jpeg
 
Palestine kuna wakristo pia, ingawa wengi wamekandamizwa sana hivyo baadhi yao kuhamia ulaya, bara la Amerika ya Kusini na Amerika ya Kaskazini pia Lebanon n.k

Soma zaidi : Wakristo wa Chile bega kwa bega na Hamas

Soma zaidi :

Hotuba ya karne ya Benjamin Netanyahu - Umoja wa Mataifa 2023

...kimagharibi na kiyahudi pia ingawa nje ya kundi hilo alionekana kama adui mkubwa kwa kukumbatia ugaidi wa wapalestina. Wazazi wake Prof. Edward Said yaani mama yake alizaliwa Nazareth huku baba mzaliwa wa Jerusalem. Baadaye wazazi wake walihamia Lebanon na kuwa raia wa huko Lebanon ingawa...
 
Halafu muje hapa mutuambie kama ukiristo ni dini
Ukristo sio dini, bali ukimkiri na kuamini ndio utakuwa wa Kristo. Yesu hakuja kueneza dini bali alikuja kiokoa waliopotea/wenye dhambi na watu wa dini ndio waliomuua.

Asomae na afahamu
 
Hata Israel wakristo hawapumui
 
Ukristo sio dini, bali ukimkiri na kuamini ndio utakuwa wa Kristo. Yesu hakuja kueneza dini bali alikuja kiokoa waliopotea/wenye dhambi na watu wa dini ndio waliomuua.

Asomae na afahamu

1. Kwa uelewa wako si ajabu kuwa wakristo ni kidhehebu fulani kidogo mahali.

2. Ila usisahau hata kina Kibwetere na yule mwamba wa Shakahola ilikuwa hivyo.
 
Kiama chao kimekaribia hao magaidi.

1. Tatizo la ugaidi hutegemea mwenye tuhuma kasimama wapi.

2. Kumbuka Mbowe, Slaa, Mwabukusi, Mdude na wengi wengine umeshawahusu.

3. Huenda hata kina Ben, Azory Mawazo, Lijenje au hata wa kwenye viroba waliitwa hivyo na aliyewapoteza.

4. Labda hata LIssu aliuveshwa.
 
Salamu za kinafiki hizo Hamas wamewaua joshua na clement walikuwa na hatia gani hawakuchukua ardhi ya wapalestina mbona
 
1. Hapa chini ni salamu za Christmas kwenda Kwa nduguze wakristo:

View attachment 2852233

View attachment 2852236

2. Ama kwa hakika ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni.

3. Ukitaka kumwamgamiza mtu mtafutie jina baya.

4. Mbowe, Slaa, Mwabukubusi na kina Mdude waliitwa magaidi "to justify the end."

5. Ningali na scan kuutafuta salamu za Christmas kutokea CCM, Chadema, TLP, DEMOCRATS, GOP, ISIS, Al Shaabab, Azimio nk.

6. Hapo #5 kupata picha ya magaidi wa kweli in a nutshell.
Screenshot_20231225-174649.png
 
Salamu za kinafiki hizo Hamas wamewaua joshua na clement walikuwa na hatia gani hawakuchukua ardhi ya wapalestina mbona

Kwa I waliowauwa wengi tu hapa nyumbani au kuwathubutu kina Lissu walikuwa na uhalali upi?
 
Emu leta hiyo Aya inatosema hivyo
وَقَوْلِهِمْ إِنَّا قَتَلْنَا ٱلْمَسِيحَ عِيسَى ٱبْنَ مَرْيَمَ رَسُولَ ٱللَّهِ وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ۚ وَإِنَّ ٱلَّذِينَ ٱخْتَلَفُوا۟ فِيهِ لَفِى شَكٍّۢ مِّنْهُ ۚ مَا لَهُم بِهِۦ مِنْ عِلْمٍ إِلَّا ٱتِّبَاعَ ٱلظَّنِّ ۚ وَمَا قَتَلُوهُ يَقِينًۢا ١٥٧

Na- pia tuliwalaani- kwa sababu ya neno lao, kwa njia ya kukejeli na shere, «Sisi tumemuua Al- Masīh,, ‘Īsā mwana wa Maryam, mjumbe wa Mwenyezi Mungu.» Na wala wao hawakumuua ‘Īsā wala hawakumsulubu, bali walimsulubu mwanamume aliyefanana naye kwa kudhani kwao kuwa yeye ndiye ‘Īsā. Na yoyote aliyedai kwamba walimuua, miongoni mwa Mayahudi na pia wale waliomsalimisha kwao, miongoni mwaWanaswara, wote hao wako kwenye shaka na kuchanganyikiwa; hawana ujuzi wowote isipokua ni kufuata dhana tu, na wala hawana yakini ya kuwa walimuua, bali wana shaka nalo hilo na wanalidhania tu.

(4:157) surat annisai
 
Hayo maandiko yanapatikana wapi au ni bangi tu.

Back
Top Bottom