HAMAS yatuma salamu za Christmas kwa wakristo

Hivi ati wanadai alikuwa Mpalestina 😳😳
Yeye analijua hilo?

 
Unafiki mbaya zaidi ni kuendelea kutomtaka yule bwana kutuma salamu hata za pole tu kwa familia za kina Ben, Mawazo, Azory au Lijenje na eti kuwalilia machozi ya mamba waliofia vitani.
Ashakufa.
Au kuna uwezekano wa wafu kujibu?

Seems nati inakatika kichwani hapo
 
Ashakufa.
Au kuna uwezekano wa wafu kujibu?

Seems nati inakatika kichwani hapo

Kwani alikuwa peke yake au fuse zinaendelea kushindwa kazi kichwani hapo?
 
Wale 1200 waliouliwa na hamas aana hatia ya kuuawa?
 
Kwa I waliowauwa wengi tu hapa nyumbani au kuwathubutu kina Lissu walikuwa na uhalali upi?
Mambo yakina lisu yanaingiaje Palestine mbona Saudi Arabia imeua wayemeni wengi hampigi,janjaweed imeua waislamu wengi na Bashar al Asad ameua waislamu wengi hakuna kelele ila Israel ikipambana na hamas waislamu mnalia Dunia nzima
 
Wale 1200 waliouliwa na hamas aana hatia ya kuuawa?
Walikua kidogo walitakiwa wauliwe zaidi ya hao ni haki yao kufa
Mpaka watakapo regelea walipokua kabla ya mwaka 1948 hapo huko itakua sio halali kuwafyeka
 
Asante kwa hio Aya yako nimeona haya DR Mambo Jambo uje
 
Ukristo sio dini, bali ukimkiri na kuamini ndio utakuwa wa Kristo. Yesu hakuja kueneza dini bali alikuja kiokoa waliopotea/wenye dhambi na watu wa dini ndio waliomuua.

Asomae na afahamu
Kwaiyo Yesu kauliwa
 
Mambo yakina lisu yanaingiaje Palestine mbona Saudi Arabia imeua wayemeni wengi hampigi,janjaweed imeua waislamu wengi na Bashar al Asad ameua waislamu wengi hakuna kelele ila Israel ikipambana na hamas waislamu mnalia Dunia nzima

Kwani kina Lissu walikuwa kuku? Ulitaka niongelee wanaouliwa dunia nzima kukuelewesha wasio na hatia wote hawastahili udhwalimu?
 
Unayemwongelea ni huyu?

“Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!’

Au mwingine ndugu?
Namwongelea huyu aliyesema "mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi". YOHANA MTAKATIFU 14:6.
 
Kwani wamekutumia wewe hizo salam au America, wamewatumia wa Palestine wenzao, wewe hata wanakujua? Wafuasi wa Paulo kweli ni kondoo haswa akiwa katokea vigunguti shida sana
Adios bana hahaha nimecheka balaa. Ila nyie wadau wa upande mwengine full vituko yani full kucheka hakuna kukasirika. Nimecheka balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…