Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Nyie ndugu zetu tunapishana kwa kitu kimoja tu, we mungu wako binadamu, sisi Mungu wetu aliye umba kila kitu vliopo ardhini na mbinguni.Adios bana hahaha nimecheka balaa. Ila nyie wadau wa upande mwengine full vituko yani full kucheka hakuna kukasirika. Nimecheka balaa
Mbona Quran tukufu imethibitisha Yesu alikuwa akiiumba.Nyie ndugu zetu tunapishana kwa kitu kimoja tu, we mungu wako binadamu, sisi Mungu wetu aliye umba kila kitu vliopo ardhini na mbinguni.
Hivi Yesu anaweza kukumba wewe, au hata sisimizi?
Namwongelea huyu aliyesema "mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi". YOHANA MTAKATIFU 14:6.
Imethibitisha wapi sura na aya yangapi?Mbona Quran tukufu imethibitisha Yesu alikuwa akiiumba.
Lete kithibitisho hapaSalamu za kinafiki hizo Hamas wamewaua joshua na clement walikuwa na hatia gani hawakuchukua ardhi ya wapalestina mbona
Mbowe, Lissu na Slaa waliwahi kufanya ukatili dhidi ya binadamu wenzao kama Hamas walivyofanya kwa raia kule Israeli ikiwemo Mtanzania mwenzetu Mollel?!1. Tatizo la ugaidi hutegemea mwenye tuhuma kasimama wapi.
2. Kumbuka Mbowe, Slaa, Mwabukusi, Mdude na wengi wengine umeshawahusu.
3. Huenda hata kina Ben, Azory Mawazo, Lijenje au hata wa kwenye viroba waliitwa hivyo na aliyewapoteza.
4. Labda hata LIssu aliuveshwa.
Wamezibwa pumzi sio?Hata Israel wakristo hawapumui
Magaidi nia yao ni kuleta hofu. Ndio maana Hamas waliua raia wasiokua na hatia akiwe ndugu zetu joshua na clement ili kutia watu hofu kwamba Israeli sio sehemu salama ya kuishiSalamu za kinafiki hizo Hamas wamewaua joshua na clement walikuwa na hatia gani hawakuchukua ardhi ya wapalestina mbona
Wamezibwa pumzi sio?
Mbowe, Lissu na Slaa waliwahi kufanya ukatili dhidi ya binadamu wenzao kama Hamas walivyofanya kwa raia kule Israeli ikiwemo Mtanzania mwenzetu Mollel?!
Wale waliuawa na Israel wenyewe kwa kutumia helicoptersWale 1200 waliouliwa na hamas aana hatia ya kuuawa?
Magaidi nia yao ni kuleta hofu. Ndio maana Hamas waliua raia wasiokua na hatia akiwe ndugu zetu joshua na clement ili kutia watu hofu kwamba Israeli sio sehemu salama ya kuishi
Akili huna we jamaa. Empty kabisa 💭Wale waliuawa na Israel wenyewe kwa kutumia helicopters
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mashetani mauaji,yenye chuki na kisasi yanapotuma Salam za Krismass.Ni dhihaka na fedheha