Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Hamas ni kama mwehu ambae walianzisha vita (October japo mgongo ulikuwepo na bado utaendelea kuwepo) lakn ni kama Hawakujua wataimaliza vipi
na kama walijua kutumia mateka kama shinikizo Netanyahu hajali lolote kuhusu mateka na ndio kwanza amefurahia sana kwa sabab inampa sababu ya kuendelea unyama anao fanya Gaza
Hamas waachane na pride yao kuto kukubali kushindwa vita wanaoteseka ni Raia wa kawaida kina mama na watoto (Hamas wanataka wazike wamama na watoto wangapi ndipo wakubali kuwaachia hao mateka? na kukubali kuweka siraha chini kwa maslai makubwa ya wa Palestine? )