Hamas Yaua Wapalestina Zaidi ya 50 Walioonekana Kuhoji Sababu ya Shambulio la Hamas Dhidi ya Israel

Hamas Yaua Wapalestina Zaidi ya 50 Walioonekana Kuhoji Sababu ya Shambulio la Hamas Dhidi ya Israel

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao.

Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa ulemavu, na kupitia mateso mbalimbali kutokana na operation za kijeshi za Israel zilizosababishwa na magaidi ya Hamas yaliyoingia Israel na kuua kila waliyemwona.

Baada ya kupitia hayo yote, sasa mashambulizi ya Israel yamesimama baada ya kuingia kwenye uamuzi wa kumaliza vita. Wapalestina wa kawaida wameshangilia na kupongeza sana uamuzi wa kusitisha vita, wakiamini sasa wapo salama, kumbe walikuwa wanajidanganya.

Baada ya kusimama kwa vita, watu wakaona wamepata uhuru wa kuweza kutafakari kilichotokea, baadhi wakaanza kuhoji sababu za Hamas kuishambulia Israel, kitu kilichowasababishia maafa makubwa. Magaidi ya Hamas, badala ya kujibu maswali ya wapalestina, wakaanza kuwaua watu waliohoji, wakiwatuhumu kuwa ni wasaliti.

Mapigano ya Hamas na raia wema, yamesababisha vifo vya watu zaidi ya hamsini, wakiwemo 12 magaidi wa Hamas.

Habari kamili hii hapa:

Reports of masked Hamas gunmen executing eight Palestinians in public have triggered fear and outrage among residents of Gaza - a territory already exhausted by two years of war, displacement and destruction.

The killings, which Hamas says targeted “criminals and collaborators with Israel”, come just days after violent clashes between Hamas fighters and members of the powerful Dughmush clan in Gaza City which left more than 50 people dead - including 12 Hamas members.

As families were still celebrating the release of around 2,000 Palestinian prisoners in exchange for 20 Israeli hostages, renewed gunfire erupted on Tuesday morning in Gaza’s eastern Shejaiya district.

While Hamas maintains that its fighters are working to “restore security” and “eliminate lawlessness,” many fear the group is using the chaos to settle scores with rivals and silence critics including those who questioned its 7 October attack that sparked the war.
 
Duh changamoto

Hapa wanafiki wote hawawez kuonekana

Wote kimiya
 
Back
Top Bottom