rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Daah watu 15..??? Aisee balaa sanaaHua inabeba mpaka 15 chief nimeshuhudia kwa macho yangu, kwenye buti kule ndio inakula nyomi ya kufa mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah watu 15..??? Aisee balaa sanaaHua inabeba mpaka 15 chief nimeshuhudia kwa macho yangu, kwenye buti kule ndio inakula nyomi ya kufa mtu.
Kama sijachanganya majina, ndiye ninayemzungumzia. Maana huyo jamaa alifariki mwaka 2005 au 2007, alipata ajali barabara ya Kaliua. Na alipofariki, pale mjini habari zilianza zushwa kuwa ni Rama Mangozi, ndiye ikajulikana muhusika sio rama mangozi. Siku anakufa, nilikuwa kituo cha polisi. Ndio taarifa zilinikutia pale.Wee chonza kumbe alishafariki? Yule alikuwa anaishi block Q? Baba khalid?
Hii Kigoma-Mwanza mnapita Kahama-Shy-Mwanza au kuna namna mnavuka Kigongo-Busisi kufika Mwanza.Ukitokea kigoma au kasulu unaingia kakonko kwanza ndio kibondo ukiwa unaelekea mwanz
Haiwezekani sehemu kwa kutembea masaa 3 au 6 utembee dk 25..
It doesn't make sense
Kuna siku natokea Dodoma niko kwenye speed ya 120km/Hr ikatokea V8 ikani-ovetake. Si nikasema nile nayo ligi, kufika speed ya 160km/Hr nikasema hivi nikipata ajali kwa mwendo huu kweli nitapona?
I later slow down to 80km/Hr nikaiacha V8 ikipotea machoni kwangu
Kusema kweli Ajali nyingi huchangiwa na Mwendokasi
Mwendokasi unaua....
Poleni kwa misiba [emoji24]
Kwa kweli Mkuu, nimegundua ajali nyingi ni mwendokasi.ukishakuwa na familia lazima upuuze hizo ligi, sasa hivi hata mimi ni heri upite uende zako tutakutana Msolwa/Ubena kula nyama choma [emoji1][emoji1]
Kwa kweli Mkuu, nimegundua ajali nyingi ni mwendokasi.
Niliponyeka ajali kwa uzembe huo huo wa Mwendokasi.
Bado familia zetu zinatuhitaji Mkuu
Heri ya Mapumziko ya mwisho wa Mwaka Mkuu kwako na familia yako
Peace [emoji1635]
Amen 🙏 🙏Ahsante sana chief,
Heri na kwako pia na familia [emoji322]