Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

Wee chonza kumbe alishafariki? Yule alikuwa anaishi block Q? Baba khalid?
Kama sijachanganya majina, ndiye ninayemzungumzia. Maana huyo jamaa alifariki mwaka 2005 au 2007, alipata ajali barabara ya Kaliua. Na alipofariki, pale mjini habari zilianza zushwa kuwa ni Rama Mangozi, ndiye ikajulikana muhusika sio rama mangozi. Siku anakufa, nilikuwa kituo cha polisi. Ndio taarifa zilinikutia pale.
 
Ukitokea kigoma au kasulu unaingia kakonko kwanza ndio kibondo ukiwa unaelekea mwanz
Hii Kigoma-Mwanza mnapita Kahama-Shy-Mwanza au kuna namna mnavuka Kigongo-Busisi kufika Mwanza.
 
Kibondo hadi Kakonko kwa dakika 25!!!!
sio kweli, na ile barabara ya vumbi....Hapana.
 
Kuna siku natokea Dodoma niko kwenye speed ya 120km/Hr ikatokea V8 ikani-ovetake. Si nikasema nile nayo ligi, kufika speed ya 160km/Hr nikasema hivi nikipata ajali kwa mwendo huu kweli nitapona?

I later slow down to 80km/Hr nikaiacha V8 ikipotea machoni kwangu

Kusema kweli Ajali nyingi huchangiwa na Mwendokasi

Mwendokasi unaua....

Poleni kwa misiba [emoji24]

ukishakuwa na familia lazima upuuze hizo ligi, sasa hivi hata mimi ni heri upite uende zako tutakutana Msolwa/Ubena kula nyama choma [emoji1][emoji1]
 
ukishakuwa na familia lazima upuuze hizo ligi, sasa hivi hata mimi ni heri upite uende zako tutakutana Msolwa/Ubena kula nyama choma [emoji1][emoji1]
Kwa kweli Mkuu, nimegundua ajali nyingi ni mwendokasi.

Niliponyeka ajali kwa uzembe huo huo wa Mwendokasi.

Bado familia zetu zinatuhitaji Mkuu

Heri ya Mapumziko ya mwisho wa Mwaka Mkuu kwako na familia yako

Peace 🥂
 
Peace [emoji1635]

Ahsante sana chief,
Heri na kwako pia na familia [emoji322]
 
Back
Top Bottom