Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

Kinga za kiroho za kutengeneza

Sent using Jamii Forums mobile app
Lijichawi.jpg
 
Wanavyojua kulindana hatafanywa kitu. Tumeona jambazi sabaya. Tumeliona dume zima DC likimpiga mangumi usoni kabinti mwanafunzi wala hakufanywa lolote.
Ridhiwani kukamatwa na madawa ya kulevya huko China wanaficha wakati siri zote wanatoa wao wenyewe maana watu walishamchoka dingi wake wakaamua kumuanika hadharani.
 
Alipenda wali hadi kuhatarisha masomo!!? Hebu tueleze hili vizuri. Nilifikiri utasema alikuwa anafanya ufisadi kwenye zile fremu za MUHASSo, kumbe wali! Hamna mtu hapo.
Alikuwa mlafi tu, ma rice cooker yalikuwa idealised, yeye rais wa chuo anapika wali, na anaishi na mdogo wake ambaye sio mwanachuo Muhimbili. Mdogo wake alikuwa akisoma CBE
 
Back
Top Bottom