Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshamba sanaJamaa ni bonge la mshamba,simjui vizuri background yake ila anaonekana ana background yenye historia mbovu sana yenye kumbukumbu mbaya za hali ngumu za maisha aliyopitia
TrueJamaa ni bonge la mshamba,simjui vizuri background yake ila anaonekana ana background yenye historia mbovu sana yenye kumbukumbu mbaya za hali ngumu za maisha aliyopitia
Kinga za kiroho za kutengenezaAlikuwa na gono? Mshana Jr please say something
Na nalihii zile, ballsHumo kwenye mjengo atawang'oa Meno siku moja [emoji3][emoji3][emoji3]
Alikamatwa anapiga punyeto shambani na mfanyakazi wake, kwa hasira za kukamatwa akampa kichapo mfanyakazi.Amefanya yapi .?
Sijui hata yukoje, afu eti ana taaluma ya MD.Wewe bwana wewe . Huyu hata kwenye nyumba za ibada akiingia hupenda atambuliwe uwepo wake anakuja na mtoto wake naye anataka atambuliwe kama mtt wa kiongozi.
Na waziri kuua binti wa watu kisa uzinzi, wanalindana mnooo.Wanavyojua kulindana hatafanywa kitu. Tumeona jambazi sabaya. Tumeliona dume zima DC likimpiga mangumi usoni kabinti mwanafunzi wala hakufanywa lolote.
Ridhiwani kukamatwa na madawa ya kulevya huko China wanaficha wakati siri zote wanatoa wao wenyewe maana watu walishamchoka dingi wake wakaamua kumuanika hadharani.Wanavyojua kulindana hatafanywa kitu. Tumeona jambazi sabaya. Tumeliona dume zima DC likimpiga mangumi usoni kabinti mwanafunzi wala hakufanywa lolote.
Wadudu wamehamia kichwani, wanavuruga ubongoo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nipe recap chapchap nielewe kinachojiri 😂Unaona Sasa?nilisema naogopa wahuni Mimi!umeamini maneno yangu,Jambo la mazungumzo muhuni anafyatu risasi National Anthem Extrovert mshamba_hachekwi
Alikuwa mlafi tu, ma rice cooker yalikuwa idealised, yeye rais wa chuo anapika wali, na anaishi na mdogo wake ambaye sio mwanachuo Muhimbili. Mdogo wake alikuwa akisoma CBEAlipenda wali hadi kuhatarisha masomo!!? Hebu tueleze hili vizuri. Nilifikiri utasema alikuwa anafanya ufisadi kwenye zile fremu za MUHASSo, kumbe wali! Hamna mtu hapo.
Hamis Kigwangala anadai hela na mfanyakazi wake,badala wazungumze kamtwanga risasinipe recap chapchap nielewe kinachojiri 😂
atakoma na uhuni wake, anaenda kula mvua za kutosha na kupelekewa moto😂 madhara ya ku-overreactHamis Kigwangala anadai hela na mfanyakazi wake,badala wazungumze kamtwanga risasi
Wanafichiana maovu yaoatakoma na uhuni wake, anaenda kula mvua za kutosha na kupelekewa moto😂 madhara ya ku-overreact