Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhuuuuuu kwamba wengi mule n wahamiaj sasaKule jimboni kwake wamekaa sana wahutu, bila shaka ni mhutu ndiyo maana yupo hivyo hakunaga wanyamwezi wa hivyo
NCHI HIII NI YA AJABU SANAHii ndio bongo mtawala anavunja Sheria alafu hakuna polisi wa kumgusa na anapewa na cheo, hiyo ndio rangi halisi ya chama cha mboga mboga
Acha watandikane tu hukoDaah Kigwangala ana tatizo huko anakokwenda anaweza kuzingua mpaka huko mjengoni kwenyewe wamuangalie vizuri...
Wanyamwezi wanajulikana na hata hao wanajulikanaDhuuuuuu kwamba wengi mule n wahamiaj sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamis Kigwangalla amekuwa kichaa kabisa. Nakumbuka akiwa Rais wa wanafunzi pale Muhimbili, alikuwa na akili safi sana, licha ya kwamba alikuwa anapenda sana wali, kiasi cha kuhatarisha masomo yake, aisee
Kaaaz kweli kweli Jimbo lenyewe alipata Kwa mchongoWanyamwezi wanajulikana na hata hao wanajulikana
Asije wamiminia masasi wabunge wenzake. Maana naona kaanza kuwa gaidiDaah Kigwangala ana tatizo huko anakokwenda anaweza kuzingua mpaka huko mjengoni kwenyewe wamuangalie vizuri...
Ha ha ha wanapeana kwakujuanaKaaaz kweli kweli Jimbo lenyewe alipata Kwa mchongo
Humo kwenye mjengo atawang'oa Meno siku moja [emoji3][emoji3][emoji3]Asije wamiminia masasi wabunge wenzake. Maana naona kaanza kuwa gaidi
Kaka nakutafuta Pm ila naambiwa siwezi anzisha mazungumzo nawe