Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Yuko ovyo siku zote hajawahi kua sawa ataDuh huyu jamaa kapatwa na nini?
Jamaa sikuhizi yuko frasturated sana
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Siku mojaš«¤š«¤š«¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko ovyo siku zote hajawahi kua sawa ataDuh huyu jamaa kapatwa na nini?
Jamaa sikuhizi yuko frasturated sana
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Kwanini mlimpa wizara?Kigwangala hajawahi kuwa na busara
sasa wewe unaniangusha, nilitegemea wewe ujue habri kama hizi. Yupo anamalizia PhD. sweden unajua chuo gani maarufuAnasoma chuo gani?
Kama AkwilinaKapiga risasi juu ikamjeruhi mtu mguuni hiyo ni risasi toleo jipya
Masikini ya Mungu sijui kaupatia wapi... ila arv zina nguvu atatoboa parefuPoleeeee yakoooo,
Wenye nuruu ndo hao waliokuwa na Luku isiyoisha wala kukatika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Washamsafisha hukoYaani doc, nimesikitika sana, umeshindwaje kudhibiti hasira zako hadharani?
Kwanini uwe gumzo kwa migogoro na wafanyakazi wako, hasa kwenye kuwanyima haki zao?
Haya yetu macho
Naona kama Toka wampige chini teuzi jamaa hayuko sawaYuko ovyo siku zote hajawahi kua sawa ata
Siku mojaš«¤š«¤š«¤
Aulizwe aliyemteua.Kwanini mlimpa wizara?
Kumbe ulisoma naye mrembo? Nashukuru kusikia mchango wako hapa.Hamis Kigwangalla amekuwa kichaa kabisa. Nakumbuka akiwa Rais wa wanafunzi pale Muhimbili, alikuwa na akili safi sana, licha ya kwamba alikuwa anapenda sana wali, kiasi cha kuhatarisha masomo yake, aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani wengine wanapatia wapii.Masikini ya Mungu sijui kaupatia wapi... ila arv zina nguvu atatoboa parefu
Kwa wake zao mostly... tena wake wa ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani wengine wanapatia wapii.
Alijua utawala wa Mama angepata japo Uwaziri ila mpaka sasa hajateuliwa.Uyu jamaa ni zaidi ya Pimbi Personal nadhani namjua kuliko yoyote yule..sijui Serikali hua inatumia kigezo gani kuwapa MAPIMBI aina hii MADARAKA
Ana kiburi
Ni jeuri
Ana roho mbaya
Mbinafsi
Yaan kwa kifupi hana utu ata nukta
mojaš«¤š«¤š«¤
Safari hii gari la Kigwa halitagonga Twiga Bali Treni.Aangalie isije ikajirudia ya mh Ditopile Mzuzuri ya kushindwa kudhibiti hasira zake mpaka yalitokea yaliyotokea.
Wali, mchele uliopikwa au wali, wingi wa mwali (msichana mrembo)?Hamis Kigwangalla amekuwa kichaa kabisa. Nakumbuka akiwa Rais wa wanafunzi pale Muhimbili, alikuwa na akili safi sana, licha ya kwamba alikuwa anapenda sana wali, kiasi cha kuhatarisha masomo yake, aisee
Mbona viongozi wote/ wengi ni wanaccm unataka kumanisha nini?Katika viongozi mapimbi, huyu jamaa ni mmoja wapo, na hii ni sababu kubwa Tanzania kuto endelea, nchi ipo mikononi kwa mapimbi wengi.