Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

Huyu jamaa angenyang'anywa silaha haraka sana na wakimuachia ataleta madhara mengi zaidi

Wakati ule walipotoleana na Bashe ndio ingechukuliwa haya yasingetokea kabisa ila police wetu ni waoga sana kwa kufuata sheria kwa viongozi labda amri itoke juu

Sasa kaleta tatizo kwa kijana na kumpa ulemavu, je angemua?

Huyu jamaa sio mzima hata anavyoongea utamuona ana tatizo na hili lilikuwa lijulikane mapema mno wakati anabishana na watoto kwenye mitandao hopeless kabisa
 
Uyu jamaa ni zaidi ya Pimbi Personal nadhani namjua kuliko yoyote yule..sijui Serikali hua inatumia kigezo gani kuwapa MAPIMBI aina hii MADARAKA

Ana kiburi
Ni jeuri
Ana roho mbaya
Mbinafsi
Yaan kwa kifupi hana utu ata nukta
moja🫤🫤🫤
Alijua utawala wa Mama angepata japo Uwaziri ila mpaka sasa hajateuliwa.
 
Hamis Kigwangalla amekuwa kichaa kabisa. Nakumbuka akiwa Rais wa wanafunzi pale Muhimbili, alikuwa na akili safi sana, licha ya kwamba alikuwa anapenda sana wali, kiasi cha kuhatarisha masomo yake, aisee
Wali, mchele uliopikwa au wali, wingi wa mwali (msichana mrembo)?
 
Back
Top Bottom