Wanavyomshabikia team yake + mange kwenda marekani huko kwa yule lira garole stripper la kimataifa utadhani anaenda tafuta ufalme wa mbinguni [emoji14]
Wao wanataka kuslay mambo ya viwanja vya kazi gani kwao?? Juzi juzi tu huyu alienda mroga diamond alipiwe kodi kapata hela kaenda panda ndege ukute Na hela ya kodi hajapata bado. Uslay queen kazi Sana. Biashara ya papa inalipa tatizo wanataka kuishi maisha ya juu kuliko vipato vyao. Anatoa papa anapewa million anaenda itumbua yoote Halafu anakaa chini anatafuta mteja mwingine tenaHlf wakianza kuugua wanatuomba michango ya matibabu, ukute huyo hamisa mobeto anapanda business class wakati hata kiwanja hana..ila sio mbaya, biashara ya papa inalipa aisee Mzigua90
Wanavyomshabikia team yake + mange kwenda marekani huko kwa yule lira garole stripper la kimataifa utadhani anaenda tafuta ufalme wa mbinguni [emoji14]
Baby kila siku unanidanganya utanipeleka dubai na private mxieew, ngoja mapeshee wakuwahi wanipeleke
We bwana acha chuki zakooo...[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] wangapi wanaonyesha au kwa kua hamisaa...wabongo bwanaa...yani binamu ukimchukia mtuu utamnangaa...hebu punguza chuki basi na wewe jitahidi upandeAaaah , maana sio ya kwa speed ya kupiga picha passport na ticket ya business class
Bora hata Hamisa maana ni mwanamke.mtoa post na hamisa akili zenu sawa
Warumi anachuana na Google [emoji3][emoji3]
Ova
Inabdi afungue gazeti la udaku atauza sana