Hamisa aonesha tiketi ya ndege akielekea Dubai

Hamisa aonesha tiketi ya ndege akielekea Dubai

Mkuu umenifanya nicheke uliposema siku akipanda Etihad au private Jet atapiga picha mpaka mataili

Aaaah , maana sio ya kwa speed ya kupiga picha passport na ticket ya business class
 
Wanavyomshabikia team yake + mange kwenda marekani huko kwa yule lira garole stripper la kimataifa utadhani anaenda tafuta ufalme wa mbinguni [emoji14]

Haha hlf hamisa mobeto simpendagi, ukiniuliza sababu sijui kwanini, wakati hajawahi hata kunikosea Sonia G
 
Hlf wakianza kuugua wanatuomba michango ya matibabu, ukute huyo hamisa mobeto anapanda business class wakati hata kiwanja hana..ila sio mbaya, biashara ya papa inalipa aisee Mzigua90
Wao wanataka kuslay mambo ya viwanja vya kazi gani kwao?? Juzi juzi tu huyu alienda mroga diamond alipiwe kodi kapata hela kaenda panda ndege ukute Na hela ya kodi hajapata bado. Uslay queen kazi Sana. Biashara ya papa inalipa tatizo wanataka kuishi maisha ya juu kuliko vipato vyao. Anatoa papa anapewa million anaenda itumbua yoote Halafu anakaa chini anatafuta mteja mwingine tena
 
Wanavyomshabikia team yake + mange kwenda marekani huko kwa yule lira garole stripper la kimataifa utadhani anaenda tafuta ufalme wa mbinguni [emoji14]

Yani maskini akipata🤣🤣🤣, Ila hamisa kanichekesha kupiga picha passport na ticket ... sasa jaman mke wa matajir nchini Leo ndo anapanda emirate business class , tena a napiga picha🤣🤣🤣
 
Hlf wakianza kuugua wanatuomba michango ya matibabu, ukute huyo hamisa mobeto anapanda business class wakati hata kiwanja hana..ila sio mbaya, biashara ya papa inalipa aisee Mzigua90
Kodi tu ya nyumba inamshinda, mpaka akaroge kwa waganga🤣🤣🤣, iko kiwanja akakinunulie wapi
 
next month shopping lzma Dubai ukitoka hapo unaenda China halafu unamalizia America wala sikudanganyi safari hii
Baby kila siku unanidanganya utanipeleka dubai na private mxieew, ngoja mapeshee wakuwahi wanipeleke
 
Aaaah , maana sio ya kwa speed ya kupiga picha passport na ticket ya business class
We bwana acha chuki zakooo...[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] wangapi wanaonyesha au kwa kua hamisaa...wabongo bwanaa...yani binamu ukimchukia mtuu utamnangaa...hebu punguza chuki basi na wewe jitahidi upande
 
hahhahhah, warumi ni bi dada. Ila mie napenda sana post zake za hawa watu wenye majina. yaani ananifanya nawajua kwa wepesi. sijawahi kupita post ya warumi bila kuisoma.
Endelea kutuletea vibweka vya mastaa mimi ni folowa wako walahi (Walahi kwa sauti ya (ISIS)
Inabdi afungue gazeti la udaku atauza sana

Ova
 
Back
Top Bottom