We bwana acha chuki zakooo...[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] wangapi wanaonyesha au kwa kua hamisaa...wabongo bwanaa...yani binamu ukimchukia mtuu utamnangaa...hebu punguza chuki basi na wewe jitahidi upande
Huu wivu ni wa level ya kumtegeshea mtu sumu kumuua kabisa.
Angepiga picha akiwa mbele huko na sio za visa au sio warumi?Wivu kupost visa ya US? Come on , unani let down , au na wewe hujawahi panda emirate business class?, maana waswazi ndo watakua wanaona ni wivu , kama mtu ni regular flight unapiga picha passport ya nini ? Tena unaonyesha visa details 🤣🤣🤣
aca wivu!!wait ur time 'll come wew unazani bznss class ni ya kila mtuu !!especially fly emirates!!aca wivu unenepe[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Mwanamke mrembo kichwani hamna kitu mxieew , ushamba tu , sijui hamisa Ana undugu na wasukuma[emoji1787][emoji1787]
Mi nafkiriaga khs hili,nakosa majibu nadhani madanga yanawakataza kunujua viwanja au kufanya maendeleo,yanataka pesa yao iwe ya kustarehe tu,manake ukiangalia Irene Uwoya nae anakula bata lkn hana pa kusema hapa ndio kwangu hivi cjui wapoje hawa watuHlf wakianza kuugua wanatuomba michango ya matibabu, ukute huyo hamisa mobeto anapanda business class wakati hata kiwanja hana..ila sio mbaya, biashara ya papa inalipa aisee Mzigua90
Tina safari ndefu kufikia Tanzania ya viwandamtoa post na hamisa akili zenu sawa
Kwani ye ndo wa kwanza...?!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hebu acha chuki hizo mambo za kawaida sana au kwa kua Missa majii...aliyepewa kapewa...usicheze na USA bwana!!!!! Sio km safari zenu za Rwanda,South Africa,Kenya ni USA kwa trumph....!!!!hail to Missa mmaaaBinamu if you are regular flight attendant you won't even do that , ni ushamba, unaanzaje kupiga picha passport jaman, tena kuonyesha umegongewa visa ya us🤣🤣
Si anasemaga yeye ni mke wa matajiri? , sasa mke wa matajiri unapata wapi muda wa kupiga picha visa jaman
Pyeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huu wivu huu!live bila chenga!!!Mwanamke mrembo kichwani hamna kitu mxieew , ushamba tu , sijui hamisa Ana undugu na wasukuma🤣🤣
Cheap bitches they always busy flaunting air ticket and passport stamped US visa , sasa angekua anasafir kila siku kama hawara yake domo c angejaza Facebook picha za visa mbali mbali duniani🤣🤣🤣, hamisa kajua kunitia aibu Leo .
Muambie huyoooaca wivu!!wait ur time 'll come wew unazani bznss class ni ya kila mtuu !!especially fly emirates!!aca wivu unenepe[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hapo sasa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji57]Zari huwa anapiga picha hadi majagiii sembuse hamisa kupiga picha tiketi
Angepiga picha akiwa mbele huko na sio za visa au sio warumi?
aca wivu!!wait ur time 'll come wew unazani bznss class ni ya kila mtuu !!especially fly emirates!!aca wivu unenepe[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]