Hamisa aonesha tiketi ya ndege akielekea Dubai

Hamisa aonesha tiketi ya ndege akielekea Dubai

We bwana acha chuki zakooo...[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] wangapi wanaonyesha au kwa kua hamisaa...wabongo bwanaa...yani binamu ukimchukia mtuu utamnangaa...hebu punguza chuki basi na wewe jitahidi upande

Binamu if you are regular flight attendant you won't even do that , ni ushamba, unaanzaje kupiga picha passport jaman, tena kuonyesha umegongewa visa ya us🤣🤣

Si anasemaga yeye ni mke wa matajiri? , sasa mke wa matajiri unapata wapi muda wa kupiga picha visa jaman
 
Huu wivu ni wa level ya kumtegeshea mtu sumu kumuua kabisa.

Wivu kupost visa ya US? Come on , unani let down , au na wewe hujawahi panda emirate business class?, maana waswazi ndo watakua wanaona ni wivu , kama mtu ni regular flight unapiga picha passport ya nini ? Tena unaonyesha visa details 🤣🤣🤣
 
Cheap bitches they always busy flaunting air ticket and passport stamped US visa , sasa angekua anasafir kila siku kama hawara yake domo c angejaza Facebook picha za visa mbali mbali duniani🤣🤣🤣, hamisa kajua kunitia aibu Leo .
 
Mwanamke mrembo kichwani hamna kitu mxieew , ushamba tu , sijui hamisa Ana undugu na wasukuma🤣🤣
 
Angepiga picha akiwa mbele huko na sio za visa au sio warumi?
 
Mwanamke mrembo kichwani hamna kitu mxieew , ushamba tu , sijui hamisa Ana undugu na wasukuma[emoji1787][emoji1787]
aca wivu!!wait ur time 'll come wew unazani bznss class ni ya kila mtuu !!especially fly emirates!!aca wivu unenepe[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hlf wakianza kuugua wanatuomba michango ya matibabu, ukute huyo hamisa mobeto anapanda business class wakati hata kiwanja hana..ila sio mbaya, biashara ya papa inalipa aisee Mzigua90
Mi nafkiriaga khs hili,nakosa majibu nadhani madanga yanawakataza kunujua viwanja au kufanya maendeleo,yanataka pesa yao iwe ya kustarehe tu,manake ukiangalia Irene Uwoya nae anakula bata lkn hana pa kusema hapa ndio kwangu hivi cjui wapoje hawa watu
 
Binamu if you are regular flight attendant you won't even do that , ni ushamba, unaanzaje kupiga picha passport jaman, tena kuonyesha umegongewa visa ya us🤣🤣

Si anasemaga yeye ni mke wa matajiri? , sasa mke wa matajiri unapata wapi muda wa kupiga picha visa jaman
Kwani ye ndo wa kwanza...?!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hebu acha chuki hizo mambo za kawaida sana au kwa kua Missa majii...aliyepewa kapewa...usicheze na USA bwana!!!!! Sio km safari zenu za Rwanda,South Africa,Kenya ni USA kwa trumph....!!!!hail to Missa mmaaa
 
Mwanamke mrembo kichwani hamna kitu mxieew , ushamba tu , sijui hamisa Ana undugu na wasukuma🤣🤣
Pyeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huu wivu huu!live bila chenga!!!
Cheap bitches they always busy flaunting air ticket and passport stamped US visa , sasa angekua anasafir kila siku kama hawara yake domo c angejaza Facebook picha za visa mbali mbali duniani🤣🤣🤣, hamisa kajua kunitia aibu Leo .
 
aca wivu!!wait ur time 'll come wew unazani bznss class ni ya kila mtuu !!especially fly emirates!!aca wivu unenepe[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Muambie huyooo
 
Angepiga picha akiwa mbele huko na sio za visa au sio warumi?

People they snap their passport , that's very Normal, but you don't unfold details zako personal , yani ni ulimbuken wa Hali ya juu, eti anaonyesha jina lake na stamped visa , Ila wabongo in general ni washamba , sio mastaa tu
 
Angepanda treni la mwakyembe sidhani kama angeonesha tiket
 
aca wivu!!wait ur time 'll come wew unazani bznss class ni ya kila mtuu !!especially fly emirates!!aca wivu unenepe[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Sasa watu tumepanda mpaka British airways , na kama ujui This time of the year , kuna punguzo emirates , nyie washamba ambao hamjawahi ku panda ndege ndo mnababaika, hizo emirates nimezipanda sana Safar zangu za dubai , Thailand , UK , yan inshort hakuna kitu utanidanganya kuhus ndege , mpaka bei zao nazijua, washamba nyie , hata air Tanzania tu hamjawahi kupanda ndio maana mnashadadia ujinga
 
Back
Top Bottom