Hamisa aonesha tiketi ya ndege akielekea Dubai

Hamisa aonesha tiketi ya ndege akielekea Dubai

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila simshangai bibie, we all have our first flying moment , tena ndo ukipanda business class uwii , utatamani dunia nzima ijue, Ila kwa level ya hamisa , ki ukweli nikujiaibisha sana , tunajua maisha aliyopitia pengine hakuwaza leo atakuja kupanda Emirates tena business class🤣🤣, bibie akaamua asipitwe kwanza ngoja aka capture rarely moment. Sasa mtu wa kupiga passport picha na ticket then uanze kujifananisha na akina zari ? , yani Leo ndio nimeamini hamisa bogus , Hana akili nzuri

Ndio maana nasemaga, hawa mastaa wetu , wakibahatika kupata umaarufu na madanga wajaribu kurudi shule kuji brush akili, hamisa ni mzuri na anajua kuvaa anapendeza kwa kweli , Ila kichwani zero brain , hapo tu ndo anapoaribu kujifananisha na zari. Sasa staa mkubwa unaenda kupost business class tena na passport , siku ukipanda Etihad au private jet naona utapiga mpaka matair ya ndege , yan nilikua nakuonaga classic Ila Leo umeniangusha kwa kweli
IMG_8808.JPG
 
Kama kuna jambo huwa sielewi ni kuhusu huyu mtu anayejiita Warumi, sijui kama ni Me au Ke!...
hahhahhah, warumi ni bi dada. Ila mie napenda sana post zake za hawa watu wenye majina. yaani ananifanya nawajua kwa wepesi. sijawahi kupita post ya warumi bila kuisoma.
Endelea kutuletea vibweka vya mastaa mimi ni folowa wako walahi (Walahi kwa sauti ya (ISIS)
 
Umejuaje ni bi dada??
 
Back
Top Bottom