Hamisa bado anampenda sana Diamond, hii couple mpya anayoitangaza ni feki

Hamisa bado anampenda sana Diamond, hii couple mpya anayoitangaza ni feki

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Hamissa Mobeto hana ujanja kwa Diamond Platnumz anachokifanya kwa sasa ni maigizo hii couple anayoitangaza kwa nguvu IG ni feki na hautumii nguvu nyingi kugundua kama ni feki.


Na kama itathibitika kwamba hii couple si feki basi Hamisa atakuwa ni mwanamke anayejirahisha kirahisi mno kwa kila mwanaume aliye mbele yake hivyo kamwe kwa mwanaume mjanja hawezi kumuoa mwanamke kama Mobeto.

Hii picha inathibitisha wazi kwamba Hamisa aliomba tu kupiga picha na jamaa ila uwezekano wa kuwa wana date ni mdogo sana.

TIME WILL TELL.
20181109_152107.jpeg
 
Suala la kwamba wana date 100% si kweli.

Na kama ni kweli basi anajirahisisha sana kwa wanaume hivyo mpaka anaingia kaburini suala la ndoa atalisikia kwenye bomba.
Simfagilii tununu ila sioni haja ya wewe kuwashwa kisa kapata mwanaume. Muache akitumie kitumbua chake atakavyo hope hajaiba maana hako ka chuchunge kajizi sana.
 
Tatizo la dada zetu wengi wanaumizwa kwa kutojua nafasi zao wanakua na hopes zipo juu hadi wanapost mitandaoni.
Kuna tofauti kubwa sana ya one night stand,No strings attached,friends with benefits,wakuzugia nk na mmoja wao ni huyu Mobeto
 
Suala la kwamba wana date 100% si kweli.

Na kama ni kweli basi anajirahisisha sana kwa wanaume hivyo mpaka anaingia kaburini suala la ndoa atalisikia kwenye bomba.
Khaaaaaa kuna watu mnajua kuhukumu sana as if nyie ni malaika. Eti umshatabiri kabisa kuwa hawez kuolewa. Who are you to determine her fate. Let her live her life to the fullest. Tumeona watu wametembea na wanaume wingi a abiria wa dar express mbili na ya tatu imekula mzinga na kuua wote lkn Bado anaolewa na anatulia kwenye ndoa sembuse hamisa aliyeko kwenye 20+ yrs?
Cc Asprin
 
Back
Top Bottom