Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Sawa virus naona umesha ingia kwenye software za hamisa na mond ukajua yaliyomo[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio raha ya kuamua kuachilia. Unaweza ukawa unang'ang'ania kitu kumbe wala si hadhi yako. Fungu lako lipo na litakufit exactly. Sio shabiki wake but hamisa good girl. Wala usiybishwe na huyu hance kuzaa na wanaume wawili isiwe ishu ya kukurudisha nyuma kama kweli unataman mahusiano. Keep living your life girlIla huyu kaka ni mcharo, binafsi nmemuelewa sana, kama sio wake atleast atafute wa hivi.
Sio unaacha mtu afu unaenda kubeba mbovu kuliko ex
Kwakweli hata mi naona sawa alivoamua kujitoa kwenye familia ya tandale asiishie tu kumkodi huyu amchukue kabisaHii ndio raha ya kuamua kuachilia. Unaweza ukawa unang'ang'ania kitu kumbe wala si hadhi yako. Fungu lako lipo na litakufit exactly. Sio shabiki wake but hamisa good girl. Wala usiybishwe na huyu hance kuzaa na wanaume wawili isiwe ishu ya kukurudisha nyuma kama kweli unataman mahusiano. Keep living your life girl
we inakuuma nini au alitaka hiyo nafasi yake,Suala la kwamba wana date 100% si kweli.
Na kama ni kweli basi anajirahisisha sana kwa wanaume hivyo mpaka anaingia kaburini suala la ndoa atalisikia kwenye bomba.
Ile familia ilitakiwa impate mtu mvumilivu sana na asiye kuwa na kinyongo.Kwakweli hata mi naona sawa alivoamua kujitoa kwenye familia ya tandale asiishie tu kumkodi huyu amchukue kabisa
Mwingine wa hivi alionekana mara ya mwisho kwenye vita vya pili vya dunia😀
Mi nakusoma na nakuelewa sana mwalimu wangu sweetloKhaaaaaa kuna watu mnajua kuhukumu sana as if nyie ni malaika. Eti umshatabiri kabisa kuwa hawez kuolewa. Who are you to determine her fate. Let her live her life to the fullest. Tumeona watu wametembea na wanaume wingi a abiria wa dar express mbili na ya tatu imekula mzinga na kuua wote lkn Bado anaolewa na anatulia kwenye ndoa sembuse hamisa aliyeko kwenye 20+ yrs?
Cc Asprin
Khaaaaaa kuna watu mnajua kuhukumu sana as if nyie ni malaika. Eti umshatabiri kabisa kuwa hawez kuolewa. Who are you to determine her fate. Let her live her life to the fullest. Tumeona watu wametembea na wanaume wingi a abiria wa dar express mbili na ya tatu imekula mzinga na kuua wote lkn Bado anaolewa na anatulia kwenye ndoa sembuse hamisa aliyeko kwenye 20+ yrs?
Cc Asprin
Ile familia ilitakiwa impate mtu mvumilivu sana na asiye kuwa na kinyongo.
Kuwepo wapo but not amongst wanao mzunguka. To tell the truth hawa wa nitarejea angekuwavumilivu sana kwake.Hakuna mtu wa hivyo! Hakuna mtu anayeweza kuivumilia ile familia.
Ujue Diamond anachukulia poa sasa hivi kwa sababu bado kijana na ndiyo maisha anayoyataka ya kubadili wanawake. Ila utakapofika wakati akampata mwanamke akampenda kweli na kuwa tayari kutulia nae ndipo atakapouona ubaya wa familia yake.
Mondi yy siyo. Ama kweli kunya anye kuku akinya bhata kaharishaHalafu eti ni malaya kisa kamove on!
Hahaaaaa
Huyu jamaa atakufa kwa kihoro,inaonekana kaumia sana.
Kuwepo wapo but not amongst wanao mzunguka. To tell the truth hawa wa nitarejea angekuwavumilivu sana kwake.
Nifah take it from me wapo wanawake wanaish maisha mabaya ya mateso ya wakwe kuliko hata hii familia ya tandale. Lkn wanavumilia na wala huwez kujua chochote kile.
Video hiyo hapoView attachment @hamisamobetto Eti_ ( 640 X 640 ).mp4Tuwekeeni na picha za siku zingine.. maana zote ni za siku moja tu.. Actor
Kwani bata huwa anakunya?Mondi yy siyo. Ama kweli kunya anye kuku akinya bhata kaharisha
AnaharishaKwani bata huwa anakunya?
kweli kaka umesahau OPEN RELATIONSHIP pia, ha ha ha haaTatizo la dada zetu wengi wanaumizwa kwa kutojua nafasi zao wanakua na hopes zipo juu hadi wanapost mitandaoni.
Kuna tofauti kubwa sana ya one night stand,No strings attached,friends with benefits,wakuzugia nk na mmoja wao ni huyu Mobeto
Huyu amemla tu inawezeakana hata kwa kulipia picha auze ila dada yetu kanogewa na nahisi hata kuna mkono wa Mange hapa maana ndio anashikia bangokweli kaka umesahau OPEN RELATIONSHIP pia, ha ha ha haa
najaribu kumuelewa Anitha nashindwa kabisaYule Hawa ndio alikuwa mwanamke wa kumfaa ila ndio hivyo tena kijana akaona Hawa hafai kuuzia sura.
Kweli mwenzangu,na uvumilivu huo ungechangiwa na hela pia kama Anitha wa Kinje anavyokufa na tai shingoni.