Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Simfagilii tununu ila sioni haja ya wewe kuwashwa kisa kapata mwanaume. Muache akitumie kitumbua chake atakavyo hope hajaiba maana hako ka chuchunge kajizi sana.
Suala la kwamba wana date 100% si kweli.
Na kama ni kweli basi anajirahisisha sana kwa wanaume hivyo mpaka anaingia kaburini suala la ndoa atalisikia kwenye bomba.
sawa..................Simfagilii tununu ila sioni haja ya wewe kuwashwa kisa kapata mwanaume. Muache akitumie kitumbua chake atakavyo hope hajaiba maana hako ka chuchunge kajizi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atalist kapata wa kumpost
Hawa ulaya unalipia date anahang out na wewe kwa malipanoAcheni utani huyu kaka hajapata tokea tangu tupate Uhuru.π
Mwingine wa hivi alionekana mara ya mwisho kwenye vita vya pili vya duniaπAcheni utani huyu kaka hajapata tokea tangu tupate Uhuru.π
Mwingine wa hivi alionekana mara ya mwisho kwenye vita vya pili vya duniaπ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mtu yupo single asijifurahishee kisa anawatunzia nyenyere ama?
Alaaaa...Mwingine wa hivi alionekana mara ya mwisho kwenye vita vya pili vya duniaπ
Khaaaaaa kuna watu mnajua kuhukumu sana as if nyie ni malaika. Eti umshatabiri kabisa kuwa hawez kuolewa. Who are you to determine her fate. Let her live her life to the fullest. Tumeona watu wametembea na wanaume wingi a abiria wa dar express mbili na ya tatu imekula mzinga na kuua wote lkn Bado anaolewa na anatulia kwenye ndoa sembuse hamisa aliyeko kwenye 20+ yrs?Suala la kwamba wana date 100% si kweli.
Na kama ni kweli basi anajirahisisha sana kwa wanaume hivyo mpaka anaingia kaburini suala la ndoa atalisikia kwenye bomba.