Hamisa bado anampenda sana Diamond, hii couple mpya anayoitangaza ni feki

Afu huwa wepesi sana Kujaji watu mitandaoni, hawa wanaume utafikiri mifano hawana ata kwa Dada zao na hata mama zao wenyewe, suala la kuolewa ni muda tu na Mungu akishakupa hata km walihukumu vipi wanadamu
Yaan hapo.ndipo unapojua kuwa roho zinawauma sana tuu. Kwanza mwanaume mwenyewe ni kisu hatar. Hata kama ni wa one night stand Bado ni kiwango kikubwa na kizuri sana kwake
 
Wivu badala ya kuona boss wako diamond ila unΓ ona wewe kijakazi wake
 
Hamisa anaugua Post relationship mental disorder.
Haiwezekani ukatoka kuachwa na msanii anaetisha Africa nzima uende kuangukia kwa muosha maiti wa kinaijeria.
Huyo mtu mwenye mikono kama mitungi ya gesi hawezi kumfikia Naseeb kwa chochote kile
 
Wangapi walijiuza na wakaolewa bana???? Kwani hamisa amekuwa Malaya sana kuliko ndugu na jamaa zenu wa kike ambao hawayatangazi mahusiano yao mitandaoni km wanavyofanya wasanii??


Kiukweli mm hamisa mobeto naturally simpendi, cjui kwann Sweet16
 
Kiukweli mm hamisa mobeto naturally simpendi, cjui kwann Sweet16
Kumpenda au kutokumpenda hakumfanyi akashindwa kufanya vile anaona kwake ni sahihi na haimpunguzii chochote maana ushabiki wa mitandaoni hauna uhusiano na maslahi yake
 
Hapo ataishia kuchapwa tu....hakuna karatasi inaitwa ndoa itaandikwa hapo...tena akipigwa chini sijui atahifadhi wapi sura yake...hao ma HB ni watomb.j.i tu ...kama mm...wakisha maliza kuchapa wakikuchoka wanakurusha kama karatasi chafu....yenye kamasi..you will prove me right sooner than later
 
Dada zetu wawe na akili vichwani mwao....huyu angeachana na story za boyfriend/mume...badala yake angeconcetrate kwenye biashara zake...maswala ya kuwa na mpenzi angeyaweka private sio kuleta kwenye social media....anapambana na nani?
 
Ukipata mtoto mjinga kama huyu Dada ni hasara. Hivi wanaigeria wanaoa bongo.
 
kama aliomba kuliwa na jamaa akamla si wake tayari? kula na kukimbia ndio mtindowa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…