Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Ila kusemwa na mwanadamu haipunguzi riziki au umri wa kuishi ndo uzuri wakeBora kapata bwana amesemwaa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kusemwa na mwanadamu haipunguzi riziki au umri wa kuishi ndo uzuri wakeBora kapata bwana amesemwaa sana
Yaan hapo.ndipo unapojua kuwa roho zinawauma sana tuu. Kwanza mwanaume mwenyewe ni kisu hatar. Hata kama ni wa one night stand Bado ni kiwango kikubwa na kizuri sana kwakeAfu huwa wepesi sana Kujaji watu mitandaoni, hawa wanaume utafikiri mifano hawana ata kwa Dada zao na hata mama zao wenyewe, suala la kuolewa ni muda tu na Mungu akishakupa hata km walihukumu vipi wanadamu
Hujambo?Nyuzi zingine ukisoma unabaki tu kushangaa "hiiiiiiiiiii".
Duuh kwa hiyo sisi wabaya/sura mbaya kumbe hamtukubali kabisa....wala hamtunzi heshma zetu....tujione na sie ni watu...Acheni utani huyu kaka hajapata tokea tangu tupate Uhuru.😀
Hapo ataishia kuchapwa tu....hakuna karatasi inaitwa ndoa itaandikwa hapo...tena akipigwa chini sijui atahifadhi wapi sura yake...hao ma HB ni watomb.j.i tu ...kama mm...wakisha maliza kuchapa wakikuchoka wanakurusha kama karatasi chafu....yenye kamasi..you will prove me right sooner than laterKhaaaaaa kuna watu mnajua kuhukumu sana as if nyie ni malaika. Eti umshatabiri kabisa kuwa hawez kuolewa. Who are you to determine her fate. Let her live her life to the fullest. Tumeona watu wametembea na wanaume wingi a abiria wa dar express mbili na ya tatu imekula mzinga na kuua wote lkn Bado anaolewa na anatulia kwenye ndoa sembuse hamisa aliyeko kwenye 20+ yrs?
Cc Asprin
Pesa zitafuta hiyo sura unayosema mbaya, pesa unayo dia?😀Duuh kwa hiyo sisi wabaya/sura mbaya kumbe hamtukubali kabisa....wala hamtunzi heshma zetu....tujione na sie ni watu...
Haya bana hatuwezi kunyimwa vyotePesa zitafuta hiyo sura unayosema mbaya, pesa unayo dia?😀
Aisee!!!!Mwingine wa hivi alionekana mara ya mwisho kwenye vita vya pili vya dunia😀