Nyepesi nyepesi zinazoenea chinichini Hamisa amepokonywa mtoto wake wa kike na mzazi mwenzake. Japo Hamisa anadai mtoto huyo hajapokonywa Wala nini bali kachukuliwa mara moja na mzazi mwenzie.
View attachment 627836
Mtoa mada unahusika na udhalilishaji wa haki za watoto.Nyepesi nyepesi zinazoenea chinichini Hamisa amepokonywa mtoto wake wa kike na mzazi mwenzake. Japo Hamisa anadai mtoto huyo hajapokonywa Wala nini bali kachukuliwa mara moja na mzazi mwenzie.
View attachment 627836
Huko ndio itawekwa rasmi marufuku, kwani anawageuza viumbe wasio na hatia vitegauchumi.Child support itapungua aisee. Asikubali, aende mahakamani!
Mange ndio mshauri mkuumama mtu anahangaika mno,
acha mtoto akakae atulie kwanza.
Akhsante kwa kupenda jina langu mkuu LuisMkingaNimependa jina lako. T 1990 ELY.. hongera
Kwavile ww umejificha kwenye id feki .huenda huyo amisa nibora Mara 10 yaww.Ninachojua tu ni kwamba kwa Mwanaume / Mzazi mwenye akili, anayejitambua na mwenye maadili ya Kutukuka hawezi kukubali kuacha Mtoto wake alelewe na Hamisa Mobeto. Hamisa Mobeto ni Kielelezo tosha cha Mabinti / Wanawake hopeless wanaopatikana sana Kusini mwa Jangwa la Sahara ambao uwezo wao wa Kufikiri unaishia tu Kitandani, katika Dressing table na Bafuni.
Wee naye kama kitu hujui si ukae kimya tu sio lazima KucomentSheria za mitandaoni haziruhusu watoto wadogo kutolewa picha zao mitandaoni,unaweza kushtakiwa kwa kosa kama hili na sijui idhini umeipata wapi,uongozi wa JF walitakiwa kutoruhusu picha hii kuwekwa kwenye mtandao
Mkuu majitu mengine hayana akili kabisa. yanamona zari wamaana .kisa anamagari kayaandika majinayake .Ila anaweza zaa na single Maza zari mwenye watoto wa4 wakubwa tu
Achen ushamba
Badiliken
Nenden shule
Safirin nje ya nchi mpate exposure
Kalagjabaho
Aisee safi sana kwa hyo baada ya 2 years ulikuwa bado unamsubiria ajirudi?Yes
Ukipatwa ukazalishwa then mwanaume akacheat pambana na alokuzalisha(in this case domo)
Hamisa hajawahi kuwa kwenye so called committed relationship na marina,but domo?ryt ?
So apambane na domo
Ama wanataka kusema hamisa alimbaka domo?nope
Au alikuwa na mahusiano ya kimapenz na zari?nope
So give that girl a break
Yamenikuta haya personally,i know
Nilikomaa na baba wa mtoto wangu,nikampiga chini ilhal nampenda
Bt baada ya 2 years mwenyewe kajirud
Kamwe sikuwah pambana na mwanamke mwenzangu,kwan naye alitongozwa kama mm
OfkozMtotò mzuri kama mama yake
Wanajigonga wenyewe kwa chibu acha awakaze na bado.hakuna mapovu hapa ,huo ndio ukweli
No wamekuja wazazi wake ,wakilia na kunipigia magotiAisee safi sana kwa hyo baada ya 2 years ulikuwa bado unamsubiria ajirudi?
No wamekuja wazazi wake ,wakilia na kunipigia magoti
Niliwaonea aibu
Ila nimejiandaa kulipa kisas ,hatoamini
Sina papara,anayecheka mwisho ndo mshindi
Haitaisha miaka 2 story itajulikana
Lazima nilipe kisas
Saiv nimejidai mpumbavu tu
Hahaha,wakat utaongea
Aisee !
Hicho kitoto Miaka 20 ijayo atakuwa Kama sio DC Basi Mbunge wa Viti Maalum chini ya Utawala wa kina Kikwete wa baadae!
Ni kweli kwa uliyoyaongea ila hapo kwenye "kufanana mbaya" mhhhh mtoto hajafanana naye bwana,kafanana na mama yake seriousUmeongea sahihi kabisa!
Tatizo wabongo wengi tuna nyoyo dhaifuu mnoo!chuki husda na roho mbaya mnoo
Wengi wanamchukia hamisa kwa kua kazaa na diamond
Hilo ndo tatizo wengi wamechukia kwa kua hawakutegemea kama atazaa na mbongo tena hamisa mobeto bad enough mondi kamkubali mtoto[emoji2] [emoji2] [emoji2] na wanafanana mbaya!!
Huyo zari matoto matatu ya mwanaume mwingine hawamwiti incubator!
Mama mtu mzima anajikojoza kwenye video hawalioni hilooi
Ptuuu watakufa na roho zao mbaya
Hakuna cha kisasi wala risasi we kubari tu kuwa umekubariana na haliNo wamekuja wazazi wake ,wakilia na kunipigia magoti
Niliwaonea aibu
Ila nimejiandaa kulipa kisas ,hatoamini
Sina papara,anayecheka mwisho ndo mshindi
Haitaisha miaka 2 story itajulikana
Lazima nilipe kisas
Saiv nimejidai mpumbavu tu
Hahaha,wakat utaongea