Hamisa Mabeto,kifaa kipya cha Diamond pPatnumz

Anaitwa hamisa mobeto born 1994.....video model namuelewaga kichizi
 
Me hata dada yangu simwamini kabisa wanawake wanakua dhaifu sana sijui ni kwanini!!
 
Poleni mabinti wa Tanzania kujirahidisha kwa nguli la uzinzi. Hana malezi na nama yake mdomo wake hauna heshima.
 
Na wala hakuna wa kumuoneaa wivuu tunasema ukweli na makeup hua zina beba watu ni wa kawaida sema wanaume kwa kusifiaa hawajamboo
Inategemea wewe ni jinsia gani ,lakini kama ni jinsia ME huwezi sema wa kawaida na kuhusu make up hizo ni kwa watu wa show off ,kwa sisi binadamu wa sita kwa sita hatuhitaji hizo make up zenu ,tunahitaji hilo figure ,na sikuzote figure halimtupi demu hata awe na sura gani,lakini kuwa na sura nzuuri jirembe utakavyo jiremba lakini kama body sio husisimui unafaa kupuguza munkari dume tu!
Hamisa anavutia bwana na wala sihitaji kuiona sura yake -kwa hiyo issue ya makeup hapa haina mashiko!
 
Me nshachoka na habari za huyu ----- diamond kwan hakuna kitu kingine cha kufanya zaid ya kubadilisha mademu??
 
Me nshachoka na habari za huyu ----- diamond kwan hakuna kitu kingine cha kufanya zaid ya kubadilisha mademu??

Kapeleka watoto shule atawasomeshaa mpaka la sabaa sijui na kuna ndugu zake anasomeshaa????
 
Mama yake na mamaaa wallah dogo Diamond hapa umepatia O.M.G.


 
Samahani mleta mada,uongo kama huu
huwa mnautoa wapi..?
duuha watu walivyoamini sasa!!!
si mbaya lakini kwa wapenda udaku..
but hakuna uhusiano wa namna hiyo
kati ya hawa wawili .
 
samahani mleta mada,uongo kama huu
huwa mnautoa wapi..?
Duuha watu walivyoamini sasa!!!
Si mbaya lakini kwa wapenda udaku..
But hakuna uhusiano wa namna hiyo
kati ya hawa wawili .

wenzio huwa hawakanushi tuhuma namna hii.

Umesahau kuwa huu so called udaku ndio unamfanya boss wako azidi kubaki kwenye chati tukiondoa kujua kutunga nyimbo na kuimba?
 
Samahani mleta mada,uongo kama huu
huwa mnautoa wapi..?
duuha watu walivyoamini sasa!!!
si mbaya lakini kwa wapenda udaku..
but hakuna uhusiano wa namna hiyo
kati ya hawa wawili .

Dogo una uhakika lakini...?
Hata hivyo sikuamini hebu nipe namba ya huyu binti nimpigie mwenyewe nimuulize akikanusha ndio nitaamini.
Ila kama kweli huyu ni mkali kuliko mademu wote aliochapa dogo Diamond.
Huyu mtoto inabidi picha yake iwekwe kwenye noti ya Tanganyika hahahahhaaaa kudadeki wallaaah.
 
Father xmas umeniua mbaya. mm nilimwona wakawaida ila hiyo picha yenye bikin ndio nimempa uhalali wote. Kama vip tuiweke kwenye noti ya shillingi Elfu Tano ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…