Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wa kawaida saaaaana.
Inategemea wewe ni jinsia gani ,lakini kama ni jinsia ME huwezi sema wa kawaida na kuhusu make up hizo ni kwa watu wa show off ,kwa sisi binadamu wa sita kwa sita hatuhitaji hizo make up zenu ,tunahitaji hilo figure ,na sikuzote figure halimtupi demu hata awe na sura gani,lakini kuwa na sura nzuuri jirembe utakavyo jiremba lakini kama body sio husisimui unafaa kupuguza munkari dume tu!Na wala hakuna wa kumuoneaa wivuu tunasema ukweli na makeup hua zina beba watu ni wa kawaida sema wanaume kwa kusifiaa hawajamboo
Me nshachoka na habari za huyu ----- diamond kwan hakuna kitu kingine cha kufanya zaid ya kubadilisha mademu??
ndo huyo Lazy Mate
![]()
samahani mleta mada,uongo kama huu
huwa mnautoa wapi..?
Duuha watu walivyoamini sasa!!!
Si mbaya lakini kwa wapenda udaku..
But hakuna uhusiano wa namna hiyo
kati ya hawa wawili .
Samahani mleta mada,uongo kama huu
huwa mnautoa wapi..?
duuha watu walivyoamini sasa!!!
si mbaya lakini kwa wapenda udaku..
but hakuna uhusiano wa namna hiyo
kati ya hawa wawili .