Hamisa Mobeto ana mchango gani kwenye sekta ya madini? Wizara ya Madini mjitafakari sana kuelekea TMIC2024

Bosi wewe hujaelewa, yaani hivi vitu hata wewe unaweza jiweka yaani iko hivi kukiwa na tukio siku hizi imekuwa mtindo mtu kujitangaza kwa kuambatanisha na tukio, mfano kama wakuu wa taasisi walipoalikwa Arusha kila mmoja alikuwa anajiandika nitakuwepo, hivyo usimshambulie Hamisa
 
Hata mimi limenishangaza sana.
Si wangetuita hata sisi mkuu aisee ambao ni wadau!?
 
Kama hujui hao wakina hamisa ndio madini yenyewe sasa..
 
Huyu dem sijui watu wanadatishwa na nin kwake, sijawahi kumuelewa kabisa hata huo uzuri wanaomsifia siuoni...
Mondi kapita na mademu maarufu wengi, na huyu ni mmoja wapo na kuzaa nae kabsa. Hujiuliz tu ana nini so special? πŸ˜…πŸ˜…....pengine wana wanapeana feedback kuwa yuko vzr kwny 6*6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…