Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Evelyn Salt @To yeye mnasalimiwavipi, warembo wenzako kina To yeye na Evelyn Salt hawajambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Evelyn Salt @To yeye mnasalimiwavipi, warembo wenzako kina To yeye na Evelyn Salt hawajambo?
Evelyn Salt @To yeye mnasalimiwa
PoaaMambo☺️
N kwenye harakati za kutaka tu kuonja halafu si unajua hamisa tena kitandani lazima akutandike maswali utampa nn utamsaidiaje yani ni mlalamishiiiHuyu dem sijui watu wanadatishwa na nin kwake, sijawahi kumuelewa kabisa hata huo uzuri wanaomsifia siuoni...
😍Poaa
Mtaji wa Mwanamke asie na akili upo kitandani.Mondi kapita na mademu maarufu wengi, na huyu ni mmoja wapo na kuzaa nae kabsa. Hujiuliz tu ana nini so special? 😅😅....pengine wana wanapeana feedback kuwa yuko vzr kwny 6*6
Sukari ya watu hiyo, it doesnt makd sense at all, tabu ya viongozi vijana ndio hiyoNimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)
Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM
Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!
Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.
Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?
Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.
Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.
Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.
View attachment 3155006
Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
Karibu sana Hamisa Mobeto...uje ung'arishe Usiku wa madini.Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)
Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM
Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!
Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.
Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?
Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.
Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.
Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.
View attachment 3155006
Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
Mnashangaa mdangaji mkutanoni,mnasahau roboti Eunice bungeni. Yaani ni full vituko!Duh mdangaji kaitwa mkutanoni
Hii nchi kweli kiboko
Ova
Hapo kuna mkubwa anakula hii kitu, nchi inaendeshwa na wajinga kila konaNimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)
Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM
Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!
Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.
Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?
Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.
Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.
Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.
View attachment 3155006
Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
Yani wale watu wanaofanya vitu kinyume na maadili ndio unawapa kipaombele!!! kweli fisi wamechokaDuh mdangaji kaitwa mkutanoni
Hii nchi kweli kiboko
Ova