Hamisa Mobeto ana mchango gani kwenye sekta ya madini? Wizara ya Madini mjitafakari sana kuelekea TMIC2024

Huyu dem sijui watu wanadatishwa na nin kwake, sijawahi kumuelewa kabisa hata huo uzuri wanaomsifia siuoni...
N kwenye harakati za kutaka tu kuonja halafu si unajua hamisa tena kitandani lazima akutandike maswali utampa nn utamsaidiaje yani ni mlalamishiii

Sasa kama mwanaume na ushapewa na una wadhifa, mambo ndio kama haya sasa.
 
Mondi kapita na mademu maarufu wengi, na huyu ni mmoja wapo na kuzaa nae kabsa. Hujiuliz tu ana nini so special? 😅😅....pengine wana wanapeana feedback kuwa yuko vzr kwny 6*6
Mtaji wa Mwanamke asie na akili upo kitandani.

Wanawake washajua silaha ya kutukamata, na wanaitumia vizuri hiyo silaha "sio wazembe"
 
Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)

Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM

Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!

Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.

Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?

Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.

Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.

Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.

View attachment 3155006

Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
Sukari ya watu hiyo, it doesnt makd sense at all, tabu ya viongozi vijana ndio hiyo
 
Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)

Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM

Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!

Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.

Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?

Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.

Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.

Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.

View attachment 3155006

Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
Karibu sana Hamisa Mobeto...uje ung'arishe Usiku wa madini.
 
Hapo kuna mkubwa anakula hii kitu, nchi inaendeshwa na wajinga kila kona
 
Hamisa ni madini yanayotembea... Anatembea na mgodi binafsi ambao kila mwenye kibunda anatamani akachimbe

Kwahiyo kualikwa hapo anawakilisha kundi lote la wenye migodi binafisi (wadangaji) ya madini
 
Back
Top Bottom